Serikali kuingilia michezo sio dhambi, haya hufanyika duniani kote

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Kuna baadhi ya watu wajinga wameibuka na kusema ati fifa watatufungia kuwa serikali imeingilia michezoni

Kwanza nimpongeza Rais Samia kwa hekima yake kuu ya kusuluhusha huu mgogoro

Watu wasijadanganye ati serikali haiingilii michezo kimsingi hakuna sehemu ambapo serikali haiingilii hata kwenye familia yako kulitolea mzozo serikali itaingilia
Kanisani au msikitini hata kama kuabudu ni uhuru serikali itaingilia, yaani serikali imwaje Zumaridi apotoshe umma eti kwakuwa Kuna uhuru wa kuabudu

Haya sio yanafanyika Tanzania tu, yapo kila mahala mfano

1. Roman Abramovic alitimiliwa Chelsea na Serikali ya England, hapa FIFA hawakubweka
Kimsingi mwekezaji huyu hakutenda kosa dhidi FIFA ni mgogoro wa kidplomasia ulikuwa

2 Russia alifungiwa na fifa ushawishi wa serikali za kimataifa hasa Ulaya.
Ila kimsingi Russia anapigana na Ukraine, ila fifa wakachagua kumuonea Russia

3. Barcelona iliyumba kwenye mgogoro wa Spain na Catalunya, na FIFA haikuifungia Spain

4 Serikali ya England iliamuru ligi kusimama karibia mwezi mzima kuomboleza kifo cha Queen Elizabeth, hapa hao FIFA hawakubweka kuwa serikali ya England imeingilia michezoni

Hii ni mifano baadhi
Yaani serikali haiwezi kunyamazia uvunjifu wa amani eti FIFA wamezuia.

Mashabiki wa mpira ni Raia wa Samia, hivo hawezi kukaa kimya asitafute suluhu kisa Kuna FIFA inazuia
 
Kwa hiyo timu zote zimeridhia kucheza, au bado kuna timu inang'ata ng'ata tu vidole mpaka muda huu?
 
FIFA wapo strict sana hasa kwa nchi za Africa kumbuka kenya walipigwa ban kutoshiriki michezo ya kimataifa na ligi yao kuzuiwa kwa mda baada ya serikali kupitia waziri wa michezo Amina Mohanmed kumtengua Nick Mwenda aliyekuwa rais wa shirikisio la mpira wa miguu kenya FKF
 
Kuna baadhi ya watu wajinga wameibuka na kusema ati fifa watatufungia kuwa serikali imeingilia michezoni

Kwanza nimpongeza Rais Samia kwa hekima yake kuu ya kusuluhusha huu mgogoro

Watu wasijadanganye ati serikali haiingilii michezo kimsingi hakuna sehemu ambapo serikali haiingilii hata kwenye familia yako kulitolea mzozo serikali itaingilia
Kanisani au msikitini hata kama kuabudu ni uhuru serikali itaingilia, yaani serikali imwaje Zumaridi apotoshe umma eti kwakuwa Kuna uhuru wa kuabudu

Haya sio yanafanyika Tanzania tu, yapo kila mahala mfano

1. Roman Abramovic alitimiliwa Chelsea na Serikali ya England, hapa FIFA hawakubweka
Kimsingi mwekezaji huyu hakutenda kosa dhidi FIFA ni mgogoro wa kidplomasia ulikuwa

2 Russia alifungiwa na fifa ushawishi wa serikali za kimataifa hasa Ulaya.
Ila kimsingi Russia anapigana na Ukraine, ila fifa wakachagua kumuonea Russia

3. Barcelona iliyumba kwenye mgogoro wa Spain na Catalunya, na FIFA haikuifungia Spain

4 Serikali ya England iliamuru ligi kusimama karibia mwezi mzima kuomboleza kifo cha Queen Elizabeth, hapa hao FIFA hawakubweka kuwa serikali ya England imeingilia michezoni

Hii ni mifano baadhi
Yaani serikali haiwezi kunyamazia uvunjifu wa amani eti FIFA wamezuia.

Mashabiki wa mpira ni Raia wa Samia, hivo hawezi kukaa kimya asitafute suluhu kisa Kuna FIFA inazuia
Alivyo fanyiea Jamalalinzi walinasawa na hakuna aliyema fifa watatufungia ila wameguswa makolo wenzako mnaimba wimbo wa fifa lolote litakalo tokea sawa tu tunachojua taratibu za uchaguzi zimeanza na tupo makini tunajua Hila zenu.
 
Kuna baadhi ya watu wajinga wameibuka na kusema ati fifa watatufungia kuwa serikali imeingilia michezoni

Kwanza nimpongeza Rais Samia kwa hekima yake kuu ya kusuluhusha huu mgogoro

Watu wasijadanganye ati serikali haiingilii michezo kimsingi hakuna sehemu ambapo serikali haiingilii hata kwenye familia yako kulitolea mzozo serikali itaingilia
Kanisani au msikitini hata kama kuabudu ni uhuru serikali itaingilia, yaani serikali imwaje Zumaridi apotoshe umma eti kwakuwa Kuna uhuru wa kuabudu

Haya sio yanafanyika Tanzania tu, yapo kila mahala mfano

1. Roman Abramovic alitimiliwa Chelsea na Serikali ya England, hapa FIFA hawakubweka
Kimsingi mwekezaji huyu hakutenda kosa dhidi FIFA ni mgogoro wa kidplomasia ulikuwa

2 Russia alifungiwa na fifa ushawishi wa serikali za kimataifa hasa Ulaya.
Ila kimsingi Russia anapigana na Ukraine, ila fifa wakachagua kumuonea Russia

3. Barcelona iliyumba kwenye mgogoro wa Spain na Catalunya, na FIFA haikuifungia Spain

4 Serikali ya England iliamuru ligi kusimama karibia mwezi mzima kuomboleza kifo cha Queen Elizabeth, hapa hao FIFA hawakubweka kuwa serikali ya England imeingilia michezoni

Hii ni mifano baadhi
Yaani serikali haiwezi kunyamazia uvunjifu wa amani eti FIFA wamezuia.

Mashabiki wa mpira ni Raia wa Samia, hivo hawezi kukaa kimya asitafute suluhu kisa Kuna FIFA inazuia
1749916429228.png
 
OKTOBA TUNA ✔️
 
Back
Top Bottom