Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

Sasa mkuu si vilevile wanachofanya m gas aka kopa gas
Ndio boss ndio hicho wanachokifanya kifanya.
mmexport1664713103754.jpg
 
Shida ya BIOGAS ni harufu mbaya 😀😀😀😀😀😀Utapika chakula kinatoa harufu ya Taka.
Karibu M-Gas ujipikie chakula kitamu.
View attachment 2389744
Kujiunga piga: 0747744895
Mkuu hicho unachoongea una uhakika nacho au upo unafanya matangazo?

Biogas huwezi kufananishwa na hizo LPG's yaan ni mbingu na ardhi au nuru na giza

Sema labda kuestablish biogas ni shughuli lakini ukikamilisha ni vizazi kwa vizazi
 
Shida ya BIOGAS ni harufu mbaya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Utapika chakula kinatoa harufu ya Taka.
Karibu M-Gas ujipikie chakula kitamu.
View attachment 2389744
Kujiunga piga: 0747744895
We unafanya matangazo sana
Ushawahi kutana na mfumo mzuri wa biogas....nenda lutindi mission kajionee
Alafu tangazo lako hapo mwambie huo mteja awake mtungi wa gas njeee
Mtakuja kufaaaa

Ova
 
Hio inge make sense kama umefungiwa pipeline ya gas. Sasa huo mtungi ukiisha si unarudi dukani kununua upya ama unapewa bure?
Ya kwenye pipeline ipo TPDC boss, watu wanafungiwa wengi tu. Unaweza kwenda pale Azikiwe kwenye ofisi zao kupata utaratibu. Japo ujue tu kuvuta gesi kwa bomba lazima ujipange sana.
 
We unafanya matangazo sana
Ushawahi kutana na mfumo mzuri wa biogas....nenda lutindi mission kajionee
Alafu tangazo lako hapo mwambie huo mteja awake mtungi wa gas njeee
Mtakuja kufaaaa

Ova
Boss nitajitahidi niende Lutindi Mission nijionee hiyo BIOGAS. Boss ni kweli kuhusu kuweka mtungi nje ya nyumba tunajitahidi tuanzishe hiyo program ya kuwapa elimu wateja wote wa gesi juu ya utunzaji wa mtungi wa gesi.
 
Kifurushi cha 1000 sjui 500
Mtu anaweza kitumia siku ngapi

Ova
Boss unapika ugali unaiva, unapika na mboga na bado kifurushi kinabaki na kesho mnatumia tena.
Tukubali kwenda na teknolojia inavyotaka watanzania wenzangu. Digitalization ipo nyumbani mwetu sasa.
mmexport1664713103754.jpg
 
Mkuu hicho unachoongea una uhakika nacho au upo unafanya matangazo?

Biogas huwezi kufananishwa na hizo LPG's yaan ni mbingu na ardhi au nuru na giza

Sema labda kuestablish biogas ni shughuli lakini ukikamilisha ni vizazi kwa vizazi
Sawa boss. Ila mradi wa BIOGAS kuundesha ni kazi kidogo kama unavyojua boss.
 
Huwezi hamasisha watu wazaliane kwenye jamii fukara kama hii.
Kwasababu wewe umeshazaliwa au siyo?

Suala la kuzaa ni la familia husika..
Kama hutaki kuzaa baki na mwanao 1.au usiwe na mtoto kabisa,,
Ili ufaidi vzr mema ya inchi,

Wacha wenye uhitaji wa watoto waendelee kuzaliana.
 
Anataka auziwe mtungi elfu 3000
Yaani Mimi sioni msaada hapo kwa maana tofautisha mkaa na gesi. Mkaa wa 2000 na hiyo gesi 2000 ni tofauti. Yaani niwaambie hamjasaidia kitu na watu wakinunua hiyo mitungii yenu Kuna uwezekano wa disconnect hiyo mita yenu. Akatumua bure. Au vp kama huo mtungi ukiibiwa?? Au na mmefunga GPS.?

Kitu kingine watu hawashindwi kununua mtungi kabisa wa gesi wengi wanaogopa ajali za moto. Kwani mmelifikilia Hilo kwenye hiyo mitungii yenu? Au mnataka tu Hela?
 
Mkaa na kuni vinaharibu mazingira boss. Usizungumzie mkaa katika zama hizi.
Sio rahisi kudisconnect mita boss, na hiyo mita imefungwa GPS.
Gesi haiwezi kusababisha ajari ya moto kama upo makini kwenye matumizi boss.
Huko mataifa ya wenzetu wanatumia gesi na wala hakuna ajari za moto.
 
Huwezi hamasisha watu wazaliane kwenye jamii fukara kama hii.
... inahitajika kampeni kabambe kuondoa ujinga ulipandikizwa vichwani mwa mafukara na yule jamaa wa fyatueni serikali itatunza! Baada ya lile tamko lake tumeshuhudia ongezeko la kutisha vichanga miongoni mwa mafukara wasio na mbele wala nyuma; ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa.

Ulaya wanahamasisha watu wazaliane kwa sababu kizazi kule ni kizee; huku majority ni young generation tena generation ambayo inahitaji msaada na isiyo na mchango wowote kwenye pato la taifa ni ujinga mno kuhamasisha watu kuzaliana.
 
Gesi ya 1000? Unaona humu watu ni wapumbavu Kama wewe?
Boss ahsante sana kwa comment nzuri. Ni kweli kabisa boss gesi ya Tsh 1000 ipo. Unanunua kama kifurushi cha simu. Karibu M-Gas ujipatie hiyo gesi ya Tsh. 1000 boss.
mmexport1664713103754.jpg

M-Gas inakuwezesha kununua gesi kidogokidogo. Karibu sana boss.
 
Back
Top Bottom