Serikali kujenga kiwanja kipya cha michezo jijini Arusha

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Mkoa wa Arusha umepewa dhamana kubwa ya kitaifa ya kujengwa kiwanja kipya cha michezo na kufanya Tanzania kuwa na viwanja vitatu vinavyokidhi vigezo na mahitaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ili kuandaa mashindano ya AFCON 2027 katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Akikagua eneo kitakapojengwa kiwanja hicho kata ya Olmoti jijini Arusha la Juni 13, 2023, Mkuu wa mkoa huo Bw. John Mongela amesema mkoa umepokea mradi huo kwa mikono miwili na watatekeleza azma ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo makubwa barani Afrika.

“Tunamshukuru Rais kwa moyo wake wa uzalendo wa kuwaletea watanzania maendeleo makubwa, Uwanja huu utabadilisha sana sura ya Mkoa wa Arusha na kuiweka kwenye ramani ya dunia, tutatekeleza maelekezo ya Wizara yetu ya michezo, maelekezo ya TFF, mwongozo wa Mhe. Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu na mamlaka zote. Sisi kama mkoa tutafanya linalowezekana jambo hili lifanikiwe” amesema Bw. Mongela.

Ili kufikia azma ya Tanzania kuwa wenyeji wa AFCON 2027 kwa kushirikiana na nchi za Kenya na Uganda, tayari Kiwanja cha Benjamin Mkapa cha Dar es salaam kimeanza kufanyiwa ukarabati mkubwa pamoja na Kiwanja cha Amani Zanzibar hatua itakayofanya Tanzania kuwa na viwanja vitatu vinavyokidhi ubora kulingana na Sharia na Kanuni za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) pamoja na mashindano mengine duniani.

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema lengo la ziara hiyo ni kukagua eneo kitakapojengwa kiwanja cha kisasa cha michezo katika jiji la Arusha ambayo ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027.

“Huu ni ukaguzi wa awali wa eneo utakapojengwa uwanja wa michezo hapa Arusha, Sisi Wizara tunawaahidi wakazi wa mkoa wa Arusha pamoja na Watanzania kwa ujumla kuwa tutajenga kiwanja cha kisasa chenye uwezo wa kuchukua watu 30,000,000 ambacho kina uwezo wa kuchezwa mechi za CAF na mechi ambazo zinatambuliwa na FIFA” amesema Bw. Yakubu.

Aidha, ziara hiyo imeshirikisha Uongozi wa mkoa wa Arusha, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Bw. Wales Karia pamoja na viongozi wa taasisi zote ambazo zitakuwa na miundombinu muhimu ya kuhudumia kiwanja hicho.

IMG-20230614-WA0193.jpg
 
View attachment 2657489
Safi, sio kila kitu kurundika dar.
 
Siyo Kila kitu atajwe Mama
 
Nakumbushia tu ule uwanja wa Mfalme wa Morocco kule Dodoma. Sijui mchakato wake unaendeleaje!
 
tunashukuru, ila suala la bandari halitaisha midomoni mwa watz kama ilivyo kwa loliondo. waarabu sio wa kuwauzia kitu nyie. hatujajifunza kwa loliondo tu? kuna akili za watu wanaamini tukiwapa warabu basi tz itakuwa kama dubai, coconut kabisa inawaza hivyo.
 
Mkoa umeshindwa kuwa na timu ya ligi kuu kwa zaidi ya miaka 10 huo uwanja ujengwe kwenye miji kama mbeya, mwanza au morogoro atleast

Uko sahihi kabisa. Tena hiyo mikoa ina mwamko zaidi kwenye mambo ya mpira kuliko huko Arusha.

Halafu kumbe Amani inakidhi vigezo vya CAF? Kwa hiyo zile mechi zote za kimataifa za Yanga, Simba na za timu ya taifa zingeweza kuchezewa kule na uwanja wa Mkapa ungeweza kufungwa kabisa miezi mitatu iliyopita.
 
Wajenge stendi ya Mabasi yenye hadhi ya Jiji, lakini pia waboreshe barabara zao za mchepuko. Nyingi ni za vumbi kufikia wakati mvua zikinyesha kidogo basi mji wote unakuwa umejaa tope
 
Kiwanja kina uwezo wa kuchukua watu million 30????? OMG 😳😱 I'm sure even ghosts will enjoy playing in the biggest stadium in the world 🌎🌍
niliwahi kumskia Msoma taarifa ktk mbio za Muenge akisema kuna pahala imepandwa Miti "Elfu Kumi na Tatu Laki Saba na Elfu Ishirini "
 
tunashukuru, ila suala la bandari halitaisha midomoni mwa watz kama ilivyo kwa loliondo. waarabu sio wa kuwauzia kitu nyie. hatujajifunza kwa loliondo tu? kuna akili za watu wanaamini tukiwapa warabu basi tz itakuwa kama dubai, coconut kabisa inawaza hivyo.
Unasahau mama naye ana chembe za waarabu? Au hukumuona mjomba wake Oman?
 
Hiyo Mkapa yenyewe ni oya oya Tu. Mvua kidogo tu uwanja unajaa maji, Kwa hiyo ni uwanja unaokidhi wakati WA jua Tu.
 
Aisee ifikie hatua wajaribu kutoa kama motisha kwa mikoa ambayo inatupa burudani ya soka kwa kila mwaka.... wamekuwa wakiingiza timu ligi Kuu..... mfano mikoa ya Mbeya na Morogoro
 
Back
Top Bottom