Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Wakati wenzetu wanapeleka wananchi kwenda nje kufanya kazi ambazo nchi itafaidika watakaporudi sisi tunapeleka madereva kazi ambazo zimesuswa. Tumepeleka mayaya na waosha sahani lakini wakirudi hatufaidiki kiuchumi! Wenzetu wamepeleka vijana Israeli ambako wanajifunza kilimo chenye tija kupitia ajira zao, sisi mmm! Masala ndokho.
CCM hamuitendei haki Tanzania.
CCM hamuitendei haki Tanzania.