Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Kwa mujibu wa KATIBA ya Tanzania wananchi Wana mamlaka ya kuamua watu wakuwaweka kwenye mihili ya nchi
Ni kosa la kiuhaini na uasi kuchukua mamlaka bila idhini yao
Ni ruksa Kwa wananchi kukuondoa kwenye hio nafasi Ili wamweke wanayemtaka
Kuupora mamlaka ya wananchi ni uhaini na uasi ambao haupaswi kufumbiwa macho hata kidogo
Sio suala la kuomba niachieni nimalizie miaka yangu mitano hapana , wape nafasi waamue wenyewe