Serikali kulalamika kuingiliwa mambo yake(Bunge la Ulaya) na kisa cha mtoto asiejitambua

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
591
Reaction score
909
Habari wakuu

Unakuwa na mtoto mtukutu mlevi mvuta bangi...ukimpa pesa kidogo lau akanunue hata nguo anaenda kunywea yote...mtoto hakui kwa wazazi wake ana miaka zaidi ya 60 sasa,alishakuomba ajitegemee ukamruhusu lakini mambo ndio kama hayo

Umeamua kwa sababu ya umri wake Acha akae jirani na nyumbani umempangia kuficha aibu kwa umri wake asionekane kubwa jinga mkikaa nyumba moja,ila chakula mavazi mpaka choo unamgharamia

Ajabu ukitaka kumshauri kwa mambo mbali mbali yenye faida kwa maisha yake mfano kuacha ulevi nk anakuja juu ooh mimi ni mtu mzima sitakiwi kuingiliwa mambo yangu.Huyu ambae chakula cha asubuhi mchana hata usiku anakuja kula kwako ukimshauri mathalani Awe anawahi kurudi jioni ili spate chakula ninyi male kwa muda muafaka anafura

Huyu mtoto wa zaidi ya miaka 60 mnamuelewa?

Tukiwa na nidhamu ya maisha mfano kukataa na kuacha ufisadi...wizi utekaji uuaji nk tutakuwa tayari kujitegemea bila kuingiliwa

Tukipenda nchi kuliko vyama vyetu au timu zetu za mpira tutafika...tusipokuwa na uchawa tutafika
 
Yaani ni Aibu kufikiri!
 
Mi nilimuunga mkono sana JPM kwenye kukata matumizi yasiyo na tija,na utendaji serikalini, aliweza kwa kiasi fulani na matokeo tuliyaona.
 
Habari wakuu

Unakuwa na mtoto mtukutu mlevi mvuta bangi...ukimpa pesa kidogo lau akanunue hata nguo anaenda kunywea yote...mtoto hakui kwa wazazi wake ana miaka zaidi ya 60 sasa,alishakuomba ajitegemee ukamruhusu lakini mambo ndio kama hayo

Umeamua kwa sababu ya umri wake Acha akae jirani na nyumbani umempangia kuficha aibu kwa umri wake asionekane kubwa jinga mkikaa nyumba moja,ila chakula mavazi mpaka choo unamgharamia

Ajabu ukitaka kumshauri kwa mambo mbali mbali yenye faida kwa maisha yake mfano kuacha ulevi nk anakuja juu ooh mimi ni mtu mzima sitakiwi kuingiliwa mambo yangu.Huyu ambae chakula cha asubuhi mchana hata usiku anakuja kula kwako ukimshauri mathalani Awe anawahi kurudi jioni ili spate chakula ninyi male kwa muda muafaka anafura

Huyu mtoto wa zaidi ya miaka 60 mnamuelewa?

Tukiwa na nidhamu ya maisha mfano kukataa na kuacha ufisadi...wizi utekaji uuaji nk tutakuwa tayari kujitegemea bila kuingiliwa

Tukipenda nchi kuliko vyama vyetu au timu zetu za mpira tutafika...tusipokuwa na uchawa tutafika
CCM ndio adui namba moja wa taifa hili
 
"Injustice somewhere is a threat to justice everywhere."
Martin Luther King Jr
 
umenena vyema, wahusika sasa ndo hawasikii wanaongozwa na chura kiziwi na nyara ya serikali
 
Kwamba?

"Ajabu ukitaka kumshauri kwa mambo mbali mbali yenye faida kwa maisha yake mfano kuacha ulevi nk anakuja juu ooh mimi ni mtu mzima sitakiwi kuingiliwa mambo yangu.Huyu ambae chakula cha asubuhi mchana hata usiku anakuja kula kwako ukimshauri mathalani Awe anawahi kurudi jioni ili spate chakula ninyi male kwa muda muafaka anafura .."

Kwetu ya hivyo wananzengo, ni kujipigia tu, kama ngoma!
 
Back
Top Bottom