Kuongeza mishahara hakuwezi kuizuia tamaa ya mtu kwenye suala Zima la upigaji
Ni sawa na umuhonge Sana mwanamke malaya ukitegemea pesa itamtuliza, hatakusaliti
Kuzuia Upigaji kunaongozwa na uzalendo wa mtu pamoja hulka binafsi ya kujizuia tamaa.
Watu wangefahamu majukumu ya driver akiwa na Boss wake, kuanzia safari mpaka anapopaki gari kupumzika, wangekua na heshima sana na driversWalau salary itosheleze mahitaji muhimu hata kama sio kubwa. Hiyo hela ya huyo afisa kwa taasisi nyingine hata dereva hamkuti. Njaa ikizidi maadili yanaondoka
TTCL kila mwaka hasara lakini Ilala, Kinondoni, Temeke kila mwaka wanakusanya bilioni kadhaa Ila angalia mishahara yao kulinganisha na ttclMpaka leo sijajua kwanini viwango vinatofautiana yaani wa halmashauri na taasisi ingine
mmh aisee kuna namnaTTCL kila mwaka hasara lakini Ilala, Kinondoni, Temeke kila mwaka wanakusanya bilioni kadhaa Ila angalia mishahara yao kulinganisha na ttcl