Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
-
- #61
Tatizo watanzania ni wavivu wa kusoma maana nimetoa angalizo juu ya kudhibiti hizo fedha.Si mpaka niugue ya nini kutajirisha watu wakati maisha mafupi haya
Tell him. kila siku anapiga kelele humu ooh serikali ya kijambazi na bado anatoa wazo la kuwakabidhi mabilion ya pesa
Tatizo watanzania ni wavivu wa kusoma maana nimetoa angalizo juu ya kudhibiti hizo fedha.
What the hell is this? Tatizo ni viongozi wabovu.Habari wadau,
Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu.
Kwanini simu ya mkononi kupitia laini ya simu iliyosajiliwa?
Kulingana na Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, hadi kufikia mwezi December mwaka 2017,watanzania wapatao milioni 40 wanatumia simu za mkononi, idadi hii ikiwa ni kutoka watumiaji milioni 27.62 mwaka 2012 hivyo tunaweza kupata fedha nyingi nazingine tukazielekeza katika maeneo mengine.Pia,tusisahau idadi ya watumiaji wa simu itaendelea kuongezeka kila mwaka.
Tunaweza kukusanya fedha kiasi gani kufanikisha jambo hili kulingana na takwimu hizo?
Ni rahisi tu. Kwa mfano,ikakubaliwa na kupitishwa kuwa kila mwananchama atapaswa kuchanga shilingi miatano tu tu(500/=) kwa mwezi kupitia line yake ya simu(simu ya mkononi)
Sasa chukua 40,000,0000 x 500=20,000,000,000(Bilioni 20) na hii ni kwa mwezi mmoja tu.
Kwa mwaka maana yake ni 20,000,000,000 x12=240,000,000,000(Biloni 240).
Sasa wadau tujiulize,kwa fedha yote hii kwa mwaka,swala la kuwa na Bima ya Afya itakayohudumia kla mtanzani litashindikana na hata kiasi kingiine cha fedha kutumika kwa mambo mengine kama kuanzisha mfuko wa kugharamia elimu ya juu au fedha hizo kutumika pia kuboresha huduma za afya kama ujenzi wa vituo vya afya na mahospitali?
https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=&cad=rja&uact=8&ved=2ahUKEwiz4PSC-KfsAhXj1uAKHVM6ARIQFjAHegQIChAC&url=https://www.pressreader.com/tanzania/mtanzania/20190630/281603832012081&usg=AOvVaw1tWi_hNU4DeItvAHpXM6AH
Kwa maana hiyo na kulingana na ongezeko hilo,mwaka huu wa 2020, idadi hiyo ya watumiaji milioni 40 itakuwa imeongezeka zaidi ya hapo.
Nini kinaweza kufanyika kufanikisha wazo hili?
Kinachoweza kufanyia ni serikali, kupitia Mamlaka ya Mawasiliano nchini(TCRA) ikishirkiana na makampuni ya simu za mkononi, kuanzisha tozo maalumu kwa asilimia ya kila muda wa maongezi mtumiaji wa simu anaponunua airtime au kuanzisha vocha maalumu zitazoingizwa kama vocha za kawaida za simu ila hela itayopatikana inaingia moja kwa moja serikalini na makampuni ya simu yanaweza kulipwa aslimia fulani kama maliupo ya kazi ya uwakala wa kukusanya mapato hayo.
Kutoza kwa asilimia kwa kila muda wa maongezi(airtime) utaonunuliwa
Kinachoweza kufanyika ni wataalamu walioko serikalini(watu wa Bima ya Afya na wadau wengineo) kukaa chini na kuangalia gharama halisi ambayomkila mwannchi anaemilki simu(kulingana na idasdi iliyopo) anaweza kuchangia kupitia manunuzi ya airtime anunuapo muda wa maongezi. Hapa namanisha wataalamu wakishakaa chini na kupiga mahesanu yao,wanaweza kuamua/kupendekeza asilimia ya makato kwa kila manunuzi ya airtime yanayofanyika.
Kwa maana hiyo, gharama ya kila vocha pamoja na muda wa mangezi kwa njia ya kurusha, zinaweza kuongezwa kidogo ili kuweza kupata/kuksanya makato hayo na kuyapeleka serikalini, na asilimia fulani kubaki katka kampuni husika ya simu kama malipo ya uwakala wa kukusanya mapato hayo ya serikali.
Kuanzisha vocha maalumu kwa ajili ya kuchangia huduma hii
Hili pengine linaweza kuwa ni wazo zuri zaidi kuliko hilo hapo juu.Katika hili,serikali kwa kushirikiana na makampuni ya simu, wataandaa vocha maalumu(labda ya shilingi 100,200,300 au 500 kutokana na itavyoonekana inafaa) na mtumiaji wa simu kununua vocha hizo na kuziingiza kama anavyongiza vocha za muda wa maongezim ila fedha inayopatikana itapelekwa serkalini na kampuni huska ya simu.
Wanachoeza kufanya makampuni ya simu ni kuongeza option ya malipo haya katika "menu" zao(kama inawezeka kitaalamu kulingana na teknolojia iliyopo) ili kutenganisha malipo au manunuzi ya vocha za kawaida na hizo vocha mpya.
Namna gani fedha zinaweza kutozwa?
Kwasababu kila line ya simu imesajiliwa na bila shaka kuna database, wataalamu wanaweza kuamua ni namna gani watu watozwe(iwe ni kila anaponunua airtime kama watatozo kwa kuchaji asilimia fulani kila unaponunua airtime au atozwe mara moja kwa mwezi,mara mbili au vinginevyo).
Hapa namanisha kuwa,kwasababun kila line ya simu imesajiliwa jina moja,mtu huyo akishanunua vocha na kufikisha kiwango kilichopangwa kwa mwezi, system haitamkata tena hela anaponunua airtime nyingine ndani ya mwezi husiku(kama itakuwa ni kulipia kwa mwezi).
Kwa wenye line zaidi ya moja itakuwaje?
Kwanza lazima ieleweke kuwa,wananchi watakaoukuwa teyari kwa huduma hii ya Bima,watapaswa kusajiliwa wao pamoja na line za simu watazopendelea zitumike kwa kulipia huduma hii za simu zitakazotumika kwa huduma hii na hivyo kuondoa uwezekana wa mtu kuchajiwa kwa kila line anayomiliki.
Kwa kununua vocha maalumu, mtumiaji wa simu anaweza pia kutumia line ya simu iliyosajiliwa kutumika katika kulipia huduma hii kulipia michango yake yake ya Bima.
Namna gani watumiaji wa huduma hii watatambulika katika mahosipitali na katika vituo vya afya?
Kwasababu huduma hii itakuwa inaendeshwa kielektroniki, zinzaweza kuandaliwa kadi za kielektoniki ambazo kila mtumiaji atapewa kama kadi yake ya utambulisho, kadi ambazo zitapaswa kutambuliwa na vifaa maalumu vitavyopatikana katika hospitali na vituo husika vya afya nchi nzima.
Kadi hii, licha ya kumtambulisha mwanachama,bado inaweza pia kubeba taarifa zake zote zikiwemo taarifa za michango yake na pia kueleza kama ametimiza vigezo na mashariti yote ya kuhudumiwa na Mfuko utakaoanzishwa kulinga na sheria itayounda Mfuko huo.
Kwanini ni muhimu kuwa na Mfuko wa aina hii licha ya gharama zitazoongezeka kwa watumiaji wa simu?
Ni ukweli ulio wazi kuwa Bima ya Afya ni jambo muhimu sana kwani magonjwa huja bila kujali una fedha au huna huku magonjwa mengine gharama zake zikiwa ni juu kuliko uwezo wa watanzania walio wengi hivyo ni bora kutozwa hizo gharama ndogo ili hata unapougua usishindwe kuhudumiwa kwa kukosa fedha.
Na kama tunazotozwa fedha kila tunaponunua vitu vitu/bidhaa kama umeme kuendeshea taasisi kama EWURA au REA wanaohusika na usambazaji umeme vijijini kuna ubaya gani tukatozwa fedha kidogo kupitia simu zote za mkonono kwa ajili ya afya zetu au kugharamia elimu za watoto wetu?
Pia, unaweza kuona hiyo miatano(500/=) na nyingi lakini jiulize kwa mwezi unatumia kiasi gani kuweka kwenye simu yako na kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki tena sometimes kuwasalimia tu.Pia jiulize ni kiasi gani unakatwa kulipia deni la Bodi ya Mikopo kila mwezi alafu ndio uone kama hiyo 500 au 300 kwa mwezi inaweza kuwa ni nyingi, na pia jiulize ni kiasi gani unaweza kukopa mkopo wa riba kugharamia matibabu yako,ya mwanao au ya mzazi wako kule kijijini au aliekuja nyumbani kwako(mjini) kwa ajili ya matibabu.
Kuunda Mfuko(Fund) husika
Wataalamu na wadau wote wanaohusika wakiona jambo hili linawezekana, basi watapeleka mapendekezo yao serikalini kwa ajili ya utekeleazaji ambapo serikali itapaswa kuandaa sera na sheria itayotumika kuanzisha na kusimamia uendeshaji wa Mfuko huu.
Sheria inaweza kuweje?
Hii ni kazi ya wataalamu ila pamoja na mambo mengine,sheria inaweza kutamka kuwa ni lazima kila mtanzania mwenye kumliki line ya simu ajiunge na huduma hii au iwe ni hiari ya mtu(ni vizuri iwe hiari lakini itafaa zaidi fedha zitazokusaywa zitumike pia katika kuhamasisha watu wajiunge na Mfuko huu na pia zitumike kutoa elimu kwa umma juu ya umuhimu wa kuwa na Bima ya Afya kupitia semina,makongamono,matangazo katika vyombo vya habari,n.k).
Kwa kila mchangiaji mwenye watoto au tegemezi,sheria itamke wazi ni watoto au ni wategemezi wangapi wanaweza kunufaika na huduma hiyo.
Pia,sheria itakayounda Mfuko huu, imtake kila mwanachama, kueleza ni i nani ataotaka wafaidike kupitia michango yake kwenye mfuko husika.
Usalama wa Mfuko
Ili kuzuia serikali kuingilia utendaji wa Mfuko huu, na pia ili kuufanya Mfuko uwe huru kwa lengo la kufanya wanasiasa wasiwe na mamlaka juu ya uendeshaji wa huu Mfuko huu, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huu asiteuliwe na Raisi ,na pia sheria itamke bayana kuwa serikali hairuhusiwi kukopa kutoka katika huu Mfuko isipokuwa panapotokea dharura maalumu kama vile kukabiliana na madhara yaliyosababishwa na majanga ya asili au nchi inapoingia katika vita ,n.k.
Faida nyingine za kuanzishwa kwa Mfuko/tozo ya aina hii
Wafanyakazi/Waajiriwa, hawatalazimika tena kukatwa hela(maelfu kadhaa ya shlingi) kutoka kwenye mishahara yao kila mwezi kwa ajili ya kuchangia Bima ya Afya ya Taifa na hivyo wataokoa fedha na kupuguza wingi/mzigo wa makato katika mishahara yao.
Watanzania wengi hata wale wasio na ajira za kuelewaka/rasimi, wanaweza kupata Bima ya Afya kwa kumiliki tu simu ya mkononi.
Makusanyo haya yanaeweza pia kutumiwa kugharamia elimu ya juu na kusomesha watanzania wote bila kuwa na element za kubaguana na hata kuwezessha elimu bure mpaka vyuo vikuu.
Kuanzishwa kwa chombo kama hiki, pia kutatengeneza fursa za ajira kwa watanzania watakaojiriwa katika Mfuko huu,makampuni ya simu yataongeza faida na hivyo yatalipa kodi zaidi serkalini ,na pia uuzaji wa vocha hizi maalumu nao utatoa ajira kwa vijana wataojihusisha na biasharan hii,n.k.
Hasara zinazoweza kujitokeza
Binafsi sioni hasara yoyote katika kuanzisha Mfuko kama huu.
Yangu ni hayo,mnaweza kuboresha au kukosa pale ambapo nimekosea kwani naamini humu wamo watu wa fani za aina nyingi hivyo kuna wenye kuweza kuwa na mawazo bora zaidi kulingana na fani zao.
Tusisahau hata vitu kama Mpesa na tigo pesa vilibuniwa na watu, hivyo hata na sisi tunawza kubuni vya kwetu na wengine wakaiga.
mwenzangu tozo kila ukigeuka tozo watatatuua na mitozoMtatuua na kodi
Bima ni yako na hulazimishwi. Wewe ona gharama ila siku yakikkuta, ndio utajua kuwa Bima ni muhimu.
Prof. Jay amehitaji milioni 20 na amebahatika kupata milioni 22.Kumbuka huyu alikuwa mbunge na usisahau ni mtu maarufu tangu zamani. Sasa jiulieze yakukute wewe nani atakuchangia milioni 20?Si utakaa tu unasubiri kufa.
Tambua watumishi wa umma wankatwa makato ya lazima kwa ajili ya Bima ya Afya tena hela nyingi tu kulingana na mshahara(kwa asilimia).
Watanzania mkikaa baa, mnatumia hela nyingi kwenye pombe na anasa nyingine bila kusahau mambo kama kubeti, n.k, ila mkiambiwa mchangie kwa hiari Bima kwa ajili ya matibabu yako, unaona gharama. Sisi watu wa ajabu sana.
Jiuluze ni kwani hata vigogo wanaostafu serikalini bado baadhi yao wanaomba msaada wa serikali kugharamia matibabu yao?
Tuache mentalily za kijinga kuhusu afya zetu. Isitoshe nimesema hii ni hiari na sio lazima.
Tukumbuke hata misaada tunayopewa na mataifa makubwa ni kodi na tozo wanazotozwa raia wa nchi hizo.
Sasa kufanya hivyo ni lazima uweke tozo juu ya tozo kwenye miamala? Kwanini hufikiri serikali ipunguze matumizi yake, kwa mfano kuachana na kununua magari ya polisi ya washawasha na virungu vya kupiga raia wakati wa uchaguzi?Sijui kama umesoma hii mada na kuelewa.
Halafu watu mnaopinga ndio nyinyi ambao ndugu zenu huko vijijini wakiomba msaada wa matibabu, mnaishia kuwasimanga na kuwaona ni mzigo, huku kila siku mnachangia harusi! Ajabu sana!
Kama hatuna utaratibu/utamaduni wa kuweka akiba ya fedha kugharamia dharura, iweje tuone umuhimu wa kuwa na bima ya afya? Sio kosa lako bali ni utamaduni mbovu tulioachiwa na wazee wetu.
Yan kanishangaza jamaaKumbe Mh. Zungu anasingiziwa tu, muanzilishi wa kupigania uwepo wa TOZO ni Salary Slip😅😅
Hii mada niliitoa kabla tozo haijaanza. Angalia tarehe.Sasa kufanya hivyo ni lazima uweke tozo juu ya tozo kwenye miamala? Kwanini hufikiri serikali ipunguze matumizi yake, kwa mfano kuachana na kununua magari ya polisi ya washawasha na virungu vya kupiga raia wakati wa uchaguzi?
Wewe no miongoni mwa watanzania wachache wanaojielewa.Naunga mkono hoja 100%
Siyo kwamba walichofanya ndiyo kile ambacho wewe ulishauri kwenye post yako hii hapaLeo wanatangaza kugharamia matibabu ya Prof. Jay ili wapate political milleage na sio kuja na suluhu ya kudumu kuhusu Bima ya kueleweka na endelevu kwa kila mtanzania.
CCM ni mzigo kwa watanzania.
Shabiby alieleta wazo kama hili nae ni CHADEMA?Hayo ndiyo mawazo ya saccos ya chama cha wanayemuita Mwamba. Serikali haiendeshwi ki saccos. Inaendeshwa kwa fedha zinazokusanywa na mamlaka ya TRA kutoka kwa wananchi kama kodi zilizopitishwa na bunge la bajeti kwa mjibu wa sheria. Matumizi ya kodi hizo hupitishwa na bunge la bajeti ikiwamo pamoja na hilo la elimu ya juu na bima ya afya. Yaani hawa jamaa wakipewa uongozi wa nchi wataifanya nchi yetu kuwa saccos yao! God forbid!
Wazo lako ni Zuri Ila lilenge huduma ya afya tu, na pia haitakuwa Jambo jema kutoza kwenye vocha Ila iwe ni Kwa mkupuo Mmoja Kwa kila laini ya mtandao MTU anaomiliki Kwa lugha nyingine tuite tozo ya laini ya simu Kwa maana kila laini ichajiwe 2000 per year.Habari wadau,
Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu.
Kwanini simu ya mkononi kupitia laini ya simu iliyosajiliwa?
Kulingana na Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, hadi kufikia mwezi December mwaka 2017,watanzania wapatao milioni 40 wanatumia simu za mkononi, idadi hii ikiwa ni kutoka watumiaji milioni 27.62 mwaka 2012 hivyo tunaweza kupata fedha nyingi nazingine tukazielekeza katika maeneo mengine.Pia,tusisahau idadi ya watumiaji wa simu itaendelea kuongezeka kila mwaka.
Tunaweza kukusanya fedha kiasi gani kufanikisha jambo hili kulingana na takwimu hizo?
Ni rahisi tu. Kwa mfano,ikakubaliwa na kupitishwa kuwa kila mwananchama atapaswa kuchanga shilingi miatano tu tu(500/=) kwa mwezi kupitia line yake ya simu(simu ya mkononi)
Sasa chukua 40,000,0000 x 500=20,000,000,000(Bilioni 20) na hii ni kwa mwezi mmoja tu.
Kwa mwaka maana yake ni 20,000,000,000 x12=240,000,000,000(Biloni 240).
Sasa wadau tujiulize,kwa fedha yote hii kwa mwaka,swala la kuwa na Bima ya Afya itakayohudumia kla mtanzani litashindikana na hata kiasi kingiine cha fedha kutumika kwa mambo mengine kama kuanzisha mfuko wa kugharamia elimu ya juu au fedha hizo kutumika pia kuboresha huduma za afya kama ujenzi wa vituo vya afya na mahospitali?
https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=&cad=rja&uact=8&ved=2ahUKEwiz4PSC-KfsAhXj1uAKHVM6ARIQFjAHegQIChAC&url=https://www.pressreader.com/tanzania/mtanzania/20190630/281603832012081&usg=AOvVaw1tWi_hNU4DeItvAHpXM6AH
Kwa maana hiyo na kulingana na ongezeko hilo,mwaka huu wa 2020, idadi hiyo ya watumiaji milioni 40 itakuwa imeongezeka zaidi ya hapo.
Nini kinaweza kufanyika kufanikisha wazo hili?
Kinachoweza kufanyia ni serikali, kupitia Mamlaka ya Mawasiliano nchini(TCRA) ikishirkiana na makampuni ya simu za mkononi, kuanzisha tozo maalumu kwa asilimia ya kila muda wa maongezi mtumiaji wa simu anaponunua airtime au kuanzisha vocha maalumu zitazoingizwa kama vocha za kawaida za simu ila hela itayopatikana inaingia moja kwa moja serikalini na makampuni ya simu yanaweza kulipwa aslimia fulani kama maliupo ya kazi ya uwakala wa kukusanya mapato hayo.
Kutoza kwa asilimia kwa kila muda wa maongezi(airtime) utaonunuliwa
Kinachoweza kufanyika ni wataalamu walioko serikalini(watu wa Bima ya Afya na wadau wengineo) kukaa chini na kuangalia gharama halisi ambayomkila mwannchi anaemilki simu(kulingana na idasdi iliyopo) anaweza kuchangia kupitia manunuzi ya airtime anunuapo muda wa maongezi. Hapa namanisha wataalamu wakishakaa chini na kupiga mahesanu yao,wanaweza kuamua/kupendekeza asilimia ya makato kwa kila manunuzi ya airtime yanayofanyika.
Kwa maana hiyo, gharama ya kila vocha pamoja na muda wa mangezi kwa njia ya kurusha, zinaweza kuongezwa kidogo ili kuweza kupata/kuksanya makato hayo na kuyapeleka serikalini, na asilimia fulani kubaki katka kampuni husika ya simu kama malipo ya uwakala wa kukusanya mapato hayo ya serikali.
Kuanzisha vocha maalumu kwa ajili ya kuchangia huduma hii
Hili pengine linaweza kuwa ni wazo zuri zaidi kuliko hilo hapo juu.Katika hili,serikali kwa kushirikiana na makampuni ya simu, wataandaa vocha maalumu(labda ya shilingi 100,200,300 au 500 kutokana na itavyoonekana inafaa) na mtumiaji wa simu kununua vocha hizo na kuziingiza kama anavyongiza vocha za muda wa maongezim ila fedha inayopatikana itapelekwa serkalini na kampuni huska ya simu.
Wanachoeza kufanya makampuni ya simu ni kuongeza option ya malipo haya katika "menu" zao(kama inawezeka kitaalamu kulingana na teknolojia iliyopo) ili kutenganisha malipo au manunuzi ya vocha za kawaida na hizo vocha mpya.
Namna gani fedha zinaweza kutozwa?
Kwasababu kila line ya simu imesajiliwa na bila shaka kuna database, wataalamu wanaweza kuamua ni namna gani watu watozwe(iwe ni kila anaponunua airtime kama watatozo kwa kuchaji asilimia fulani kila unaponunua airtime au atozwe mara moja kwa mwezi,mara mbili au vinginevyo).
Hapa namanisha kuwa,kwasababun kila line ya simu imesajiliwa jina moja,mtu huyo akishanunua vocha na kufikisha kiwango kilichopangwa kwa mwezi, system haitamkata tena hela anaponunua airtime nyingine ndani ya mwezi husiku(kama itakuwa ni kulipia kwa mwezi).
Kwa wenye line zaidi ya moja itakuwaje?
Kwanza lazima ieleweke kuwa,wananchi watakaoukuwa teyari kwa huduma hii ya Bima,watapaswa kusajiliwa wao pamoja na line za simu watazopendelea zitumike kwa kulipia huduma hii za simu zitakazotumika kwa huduma hii na hivyo kuondoa uwezekana wa mtu kuchajiwa kwa kila line anayomiliki.
Kwa kununua vocha maalumu, mtumiaji wa simu anaweza pia kutumia line ya simu iliyosajiliwa kutumika katika kulipia huduma hii kulipia michango yake yake ya Bima.
Namna gani watumiaji wa huduma hii watatambulika katika mahosipitali na katika vituo vya afya?
Kwasababu huduma hii itakuwa inaendeshwa kielektroniki, zinzaweza kuandaliwa kadi za kielektoniki ambazo kila mtumiaji atapewa kama kadi yake ya utambulisho, kadi ambazo zitapaswa kutambuliwa na vifaa maalumu vitavyopatikana katika hospitali na vituo husika vya afya nchi nzima.
Kadi hii, licha ya kumtambulisha mwanachama,bado inaweza pia kubeba taarifa zake zote zikiwemo taarifa za michango yake na pia kueleza kama ametimiza vigezo na mashariti yote ya kuhudumiwa na Mfuko utakaoanzishwa kulinga na sheria itayounda Mfuko huo.
Kwanini ni muhimu kuwa na Mfuko wa aina hii licha ya gharama zitazoongezeka kwa watumiaji wa simu?
Ni ukweli ulio wazi kuwa Bima ya Afya ni jambo muhimu sana kwani magonjwa huja bila kujali una fedha au huna huku magonjwa mengine gharama zake zikiwa ni juu kuliko uwezo wa watanzania walio wengi hivyo ni bora kutozwa hizo gharama ndogo ili hata unapougua usishindwe kuhudumiwa kwa kukosa fedha.
Na kama tunazotozwa fedha kila tunaponunua vitu vitu/bidhaa kama umeme kuendeshea taasisi kama EWURA au REA wanaohusika na usambazaji umeme vijijini kuna ubaya gani tukatozwa fedha kidogo kupitia simu zote za mkonono kwa ajili ya afya zetu au kugharamia elimu za watoto wetu?
Pia, unaweza kuona hiyo miatano(500/=) na nyingi lakini jiulize kwa mwezi unatumia kiasi gani kuweka kwenye simu yako na kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki tena sometimes kuwasalimia tu.Pia jiulize ni kiasi gani unakatwa kulipia deni la Bodi ya Mikopo kila mwezi alafu ndio uone kama hiyo 500 au 300 kwa mwezi inaweza kuwa ni nyingi, na pia jiulize ni kiasi gani unaweza kukopa mkopo wa riba kugharamia matibabu yako,ya mwanao au ya mzazi wako kule kijijini au aliekuja nyumbani kwako(mjini) kwa ajili ya matibabu.
Kuunda Mfuko(Fund) husika
Wataalamu na wadau wote wanaohusika wakiona jambo hili linawezekana, basi watapeleka mapendekezo yao serikalini kwa ajili ya utekeleazaji ambapo serikali itapaswa kuandaa sera na sheria itayotumika kuanzisha na kusimamia uendeshaji wa Mfuko huu.
Sheria inaweza kuweje?
Hii ni kazi ya wataalamu ila pamoja na mambo mengine,sheria inaweza kutamka kuwa ni lazima kila mtanzania mwenye kumliki line ya simu ajiunge na huduma hii au iwe ni hiari ya mtu(ni vizuri iwe hiari lakini itafaa zaidi fedha zitazokusaywa zitumike pia katika kuhamasisha watu wajiunge na Mfuko huu na pia zitumike kutoa elimu kwa umma juu ya umuhimu wa kuwa na Bima ya Afya kupitia semina,makongamono,matangazo katika vyombo vya habari,n.k).
Kwa kila mchangiaji mwenye watoto au tegemezi,sheria itamke wazi ni watoto au ni wategemezi wangapi wanaweza kunufaika na huduma hiyo.
Pia,sheria itakayounda Mfuko huu, imtake kila mwanachama, kueleza ni i nani ataotaka wafaidike kupitia michango yake kwenye mfuko husika.
Usalama wa Mfuko
Ili kuzuia serikali kuingilia utendaji wa Mfuko huu, na pia ili kuufanya Mfuko uwe huru kwa lengo la kufanya wanasiasa wasiwe na mamlaka juu ya uendeshaji wa huu Mfuko huu, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huu asiteuliwe na Raisi ,na pia sheria itamke bayana kuwa serikali hairuhusiwi kukopa kutoka katika huu Mfuko isipokuwa panapotokea dharura maalumu kama vile kukabiliana na madhara yaliyosababishwa na majanga ya asili au nchi inapoingia katika vita ,n.k.
Faida nyingine za kuanzishwa kwa Mfuko/tozo ya aina hii
Wafanyakazi/Waajiriwa, hawatalazimika tena kukatwa hela(maelfu kadhaa ya shlingi) kutoka kwenye mishahara yao kila mwezi kwa ajili ya kuchangia Bima ya Afya ya Taifa na hivyo wataokoa fedha na kupuguza wingi/mzigo wa makato katika mishahara yao.
Watanzania wengi hata wale wasio na ajira za kuelewaka/rasimi, wanaweza kupata Bima ya Afya kwa kumiliki tu simu ya mkononi.
Makusanyo haya yanaeweza pia kutumiwa kugharamia elimu ya juu na kusomesha watanzania wote bila kuwa na element za kubaguana na hata kuwezessha elimu bure mpaka vyuo vikuu.
Kuanzishwa kwa chombo kama hiki, pia kutatengeneza fursa za ajira kwa watanzania watakaojiriwa katika Mfuko huu,makampuni ya simu yataongeza faida na hivyo yatalipa kodi zaidi serkalini ,na pia uuzaji wa vocha hizi maalumu nao utatoa ajira kwa vijana wataojihusisha na biasharan hii,n.k.
Hasara zinazoweza kujitokeza
Binafsi sioni hasara yoyote katika kuanzisha Mfuko kama huu.
Yangu ni hayo,mnaweza kuboresha au kukosa pale ambapo nimekosea kwani naamini humu wamo watu wa fani za aina nyingi hivyo kuna wenye kuweza kuwa na mawazo bora zaidi kulingana na fani zao.
Tusisahau hata vitu kama Mpesa na tigo pesa vilibuniwa na watu, hivyo hata na sisi tunawza kubuni vya kwetu na wengine wakaiga.
Ni wazo zuri pia.. Ukweli ni kwamba, ni bora watanzania tukubali hili jambo kuliko mateso na shida ya kushindwa kugharamia matibabu kwa watanzania walio wengi.Wazo lako ni Zuri Ila lilenge huduma ya afya tu, na pia haitakuwa Jambo jema kutoza kwenye vocha Ila iwe ni Kwa mkupuo Mmoja Kwa kila laini ya mtandao MTU anaomiliki Kwa lugha nyingine tuite tozo ya laini ya simu Kwa maana kila laini ichajiwe 2000 per year.
Yaan wabunge wanajiongezea mishahara kwanajili ya anasa zao halafu mnaumiza wananchi kwa tozo za kipumbavu wallah nyie kuna kitu mnakitafuta nchi hii si bureHabari wadau,

Hivi hiyo bima yenyewe mnaielewa vizur inavyo fanya kazi hata panadol tu ukiwa na bima unaambiwa zimeisha ila mwenzio asiye na bina dirisha hilo hilo anapewa, amini nawaambia hilo ni dili lingine mnawapelekea wala fedhaNi wazo zuri pia.. Ukweli ni kwamba, ni bora watanzania tukubali hili jambo kuliko mateso na shida ya kushindwa kugharamia matibabu kwa watanzania walio wengi.
Kwenye familia/ukoo mtu akiugua, mnaanza kuchangishana na pengine hata kufarakana na hata mgonjwa anaweza kufa kwa kukosa matibabu sahiohi kisa hamna hela ya kumtibu. Huu ni mfano mmoja tu, Sasa hapa kipi bora?Yaan wabunge wanajiongezea mishahara kwanajili ya anasa zao halafu mnaumiza wananchi kwa tozo za kipumbavu wallah nyie kuna kitu mnakitafuta nchi hii si bure
Huu uzi wako ni wa 2020...sasa kwa yaliotokea bado unahisi huu ushauri una maana yoyote?....Ifike mahali watu waheshimiane...Kwenye familia/ukoo mtu akiugua, mnaanza kuchangishana na pengine hata kufarakana na hata mgonjwa anaweza kufa kwa kukosa matibabu sahiohi kisa hamna hela ya kumtibu. Huu ni mfano mmoja tu, Sasa hapa kipi bora?