Hapajui labdaSio kweli mkuu mitaa ipo mingi Sana
Poleni sana thed weld dwellers. Ngoja nitulie zangu hapa kwenye mansion yangu Beverley hills na girl friend wangu huku nimelala chalii pembeni mwa swimming pool akinilisha zabibu kwa kuning'iniza mdomoni mwangu.Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya daladala kukimbia kutoa huduma eneo hilo.
Hali ya hii barabara inatisha sana ni ajabu wameshindwa hata kuichonga walao mara moja iwe inapitika. Naiomba serikali iiangalie kwa mapana barabara hii maana pia wapo walipakodi wengi tu lakini kwa hali hii inasababisha uchumi wa eneo hilo kudorora na hali ya maisha kua juu.
Ni shida ya sehemu kubwa ya nchiShida ya Goba ni ujenzi holela
Sawa sawa mkuu kula maisha wakati ndio huuPoleni sana thed weld dwellers. Ngoja nitulie zangu hapa kwenye mansion yangu Beverley hills na girl friend wangu huku nimelala chalii pembeni mwa swimming pool akinilisha zabibu kwa kuning'iniza mdomoni mwangu.