Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Tunaingia mwaka mpya, na ndio muda ambao TRA Tanzania wanapitia tena calculator yao ya kuingiza magari used.
Import Duty, VAT na Excise Duty ndio vinavyochangia tuwe na kodi kubwa sana kwenye kuingiza magari. Na vigezo vikubwa vitatu vinavyotumika ni umri wa gari, displacement na CIF.
Import Duty yenyewe uwa ni 25% ya CIF ya gari husika.
VAT hii uwa 20% ya CIF + Import Duty + Excise Duty + Excise Duty due to Age ya gari.
Excise Duty yenyewe inategemea na displacement ya gari. Chini ya 1000 cc uwa ni 0%, Kati ya 1000 - 2000 cc uwa 5% na juu ya 2000 cc uwa 10% ya CIF+ Import Duty.
Kwahiyo kwa ujumla, ukitoa usajili wa gari, gari la cc chini ya 2000 litakuja kua na jumla ya 50% ya CIF.
Na gari la cc juu ya 2000 litakuja kua na jumla ya 65% ya CIF.
Baadhi ya Mapungufu:
1. CIF mnazozipigia hesabu TRA hamjazi-update na haziendani na uhalisia sokoni. Unaweza kukuta gari nyie mnakadiria ni CIF $10,000 ila kiuhalisia sokoni ina range 5,000 hadi 6,000 average.
2. Magari ya Hybrid na EV hajayapewa nafasi za upendeleo kuunga mkono sela ya green environment. Kama tulivyoahidiwa na Bunge lenu tukufu 2023, kodi zake ilibidi zishuke kama sio msamaha wa VAT na ID ya 0%.
3. Hamjadefine vizuri "used car" kwa term ya milage au year of manufacture (YOM).
Ndio maana mtu atakae import gari la same year nyie mnachukulia kama ni used na analipa ushuru mkubwa. Kwann hawa msingewawekea vigezo mfano used car lazima iwe na either umri kuanzia 1 year au Kilometa kadhaa kwenye Odo.
Nje ya Mada: Mwambieni IT wenu kirefu cha cc kwenye engine displacement ni cubic centimeters na sio cylinder capacity.