Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi si umekuwa mkuuWatanzania wengi ni wa kipato cha chini ndio maana serikali imeweka ushuru mdogo kwenye magari ya zamani ili watu waweze kuyamudu.
Kwa wale wachache wenye vipato vya juu ambao wanataka gari latest, kwa mtazamo wangu naona ni sawa walipe kodi ya juu.
Hii ni kweli kabisa na TRA wanatakiwa wabadilishe jinsi ya kutoza kodi za Magari. Wanatakiwa waongeze Kodi kwenye magari chakavu sio Magari mapya. Kuagiza gari mpya Tanzania ni anasa kubwa. Kodi ya kuagiza gari mpya Tanzania ni kubwa mno. Wakati inatakiwa iwe kinyume chake. Tusipoangalia Tanzania itageuka dampo la kuigizia Magari chakavu na kuja kuathiri afya za raia.Ni sahihi kabisa Mkuu; Hiyo calculator inahitaji total reformation.
Kingine, its like wanaencourage watu wanunue magari chakavu na ya zamani yenye high carbon emission badala ya gari mpya zinazotunza mazingira eg;
- Gari 1 ya mwaka 2001 jumla ya ushuru unalipa mil 14 lets say, at the same time gari hiyo hiyo ya mwaka 2017 unalipa ushuru mil33 wengi watakimbilia gari la 2001; ndo maana gari nyingi Tz ni mascrepa ya zamani zamani ndo tunaziita mpya… ila ndo zenye unafuu wa gharama, gari mpya tutazisubiri sana.
Pia mkuu nikurekebishe kidogo;
- Import duty ni 25% ya CIF uko sahihi kbs✅
- Excise duty ni 0%, 5% or 10% tegemeana na cc za gari uko sahihi ila ni % ya CIF+Import duty
- VAT ni 18% ya CIF+Import duty+Excise duty+Excise duty due to age (kama ipo)
Uchumi wa kwenye makaratasi sio? Hivi unajua hali halisi ya maisha ya mtaaniUchumi si umekuwa mkuu
Mkuu unataka kusema matajiri kama bakhresa wenye uwezo wa kununua brand new car walipe ushuru mdogo ama halafu akina sie wenye kudunduliza dollar 3000 kwa ajili ya kuagiza gari mtumba Japan tulipe ushuru mkubwa?!Hii ni kweli kabisa na TRA wanatakiwa wabadilishe jinsi ya kutoza kodi za Magari. Wanatakiwa waongeze Kodi kwenye magari chakavu sio Magari mapya. Kuagiza gari mpya Tanzania ni anasa kubwa. Kodi ya kuagiza gari mpya Tanzania ni kubwa mno. Wakati inatakiwa iwe kinyume chake. Tusipoangalia Tanzania itageuka dampo la kuigizia Magari chakavu na kuja kuathiri afya za raia.
Hivi ni kweli ukinunua trekta hakuna Kodi yeyote utakayotozwa na hawa TRA?Yeah TRA inawapendelea wanunuzi wa matrekta (agriculture machinery) ila aya ya kusafirisha bidhaa jau
Kweli mbuzi-gitaa, maana watunga sheria wetu, wao hujisikia haziwahusu bali huzitunga ili ZITUTUNGUE sisi watungiwa = walala hoi a.k.a walalamikaji na hakuna anayewajali ! " Eeh MUNGU utusikie".Unapigia mbuzi gitaa!
Chura kiziwi,atalifanyia kazi 2030Tunaingia mwaka mpya, na ndio muda ambao TRA Tanzania wanapitia tena calculator yao ya kuingiza magari used.
Import Duty, VAT na Excise Duty ndio vinavyochangia tuwe na kodi kubwa sana kwenye kuingiza magari. Na vigezo vikubwa vitatu vinavyotumika ni umri wa gari, displacement na CIF.
Import Duty yenyewe uwa ni 25% ya CIF ya gari husika.
VAT hii uwa 20% ya CIF + Import Duty + Excise Duty + Excise Duty due to Age ya gari.
Excise Duty yenyewe inategemea na displacement ya gari. Chini ya 1000 cc uwa ni 0%, Kati ya 1000 - 2000 cc uwa 5% na juu ya 2000 cc uwa 10% ya CIF+ Import Duty.
Kwahiyo kwa ujumla, ukitoa usajili wa gari, gari la cc chini ya 2000 litakuja kua na jumla ya 50% ya CIF.
Na gari la cc juu ya 2000 litakuja kua na jumla ya 65% ya CIF.
Baadhi ya Mapungufu:
1. CIF mnazozipigia hesabu TRA hamjazi-update na haziendani na uhalisia sokoni. Unaweza kukuta gari nyie mnakadiria ni CIF $10,000 ila kiuhalisia sokoni ina range 5,000 hadi 6,000 average.
2. Magari ya Hybrid na EV hajayapewa nafasi za upendeleo kuunga mkono sela ya green environment. Kama tulivyoahidiwa na Bunge lenu tukufu 2023, kodi zake ilibidi zishuke kama sio msamaha wa VAT na ID ya 0%.
3. Hamjadefine vizuri "used car" kwa term ya milage au year of manufacture (YOM).
Ndio maana mtu atakae import gari la same year nyie mnachukulia kama ni used na analipa ushuru mkubwa. Kwann hawa msingewawekea vigezo mfano used car lazima iwe na either umri kuanzia 1 year au Kilometa kadhaa kwenye Odo.
Nje ya Mada: Mwambieni IT wenu kirefu cha cc kwenye engine displacement ni cubic centimeters na sio cylinder capacity.
View attachment 3181689
Daah! AiseeWatanzania wengi ni wa kipato cha chini ndio maana serikali imeweka ushuru mdogo kwenye magari ya zamani ili watu waweze kuyamudu.
Kwa wale wachache wenye vipato vya juu ambao wanataka gari latest, kwa mtazamo wangu naona ni sawa walipe kodi ya juu.
Hiyo next Gen ni Watanzania wangapi wanaweza kumudu?!Daah! Aisee
Ila sema nini,
Kama hivi ndivyo basi tuna safari ndeefu sana…
Wakati Dunia inaenda kwenye Next-Gen vehicles sisi bado tunafikiria mikangafu ya 90’s na 2000’s…
That policy should be revised kwa kweli.
Basi sawa,Hiyo next Gen ni Watanzania wangapi wanaweza kumudu?!
Au mnataka magari mmiliki nyinyi mwenye vipato vya juu.
Halafu hiyo mikangafu ya 90s na 2000s mbona inapigwa kodi ya kawaida + kodi ya uchakavu
Point No. 2 kwenye EVs na Hybrids, tungepata watengeneza sera wanao-ona mbali tungejiweka kwenye nafasi nzuri sana kama nchi.Tunaingia mwaka mpya, na ndio muda ambao TRA Tanzania wanapitia tena calculator yao ya kuingiza magari used.
Import Duty, VAT na Excise Duty ndio vinavyochangia tuwe na kodi kubwa sana kwenye kuingiza magari. Na vigezo vikubwa vitatu vinavyotumika ni umri wa gari, displacement na CIF.
Import Duty yenyewe uwa ni 25% ya CIF ya gari husika.
VAT hii uwa 20% ya CIF + Import Duty + Excise Duty + Excise Duty due to Age ya gari.
Excise Duty yenyewe inategemea na displacement ya gari. Chini ya 1000 cc uwa ni 0%, Kati ya 1000 - 2000 cc uwa 5% na juu ya 2000 cc uwa 10% ya CIF+ Import Duty.
Kwahiyo kwa ujumla, ukitoa usajili wa gari, gari la cc chini ya 2000 litakuja kua na jumla ya 50% ya CIF.
Na gari la cc juu ya 2000 litakuja kua na jumla ya 65% ya CIF.
Baadhi ya Mapungufu:
1. CIF mnazozipigia hesabu TRA hamjazi-update na haziendani na uhalisia sokoni. Unaweza kukuta gari nyie mnakadiria ni CIF $10,000 ila kiuhalisia sokoni ina range 5,000 hadi 6,000 average.
2. Magari ya Hybrid na EV hajayapewa nafasi za upendeleo kuunga mkono sela ya green environment. Kama tulivyoahidiwa na Bunge lenu tukufu 2023, kodi zake ilibidi zishuke kama sio msamaha wa VAT na ID ya 0%.
3. Hamjadefine vizuri "used car" kwa term ya milage au year of manufacture (YOM).
Ndio maana mtu atakae import gari la same year nyie mnachukulia kama ni used na analipa ushuru mkubwa. Kwann hawa msingewawekea vigezo mfano used car lazima iwe na either umri kuanzia 1 year au Kilometa kadhaa kwenye Odo.
Nje ya Mada: Mwambieni IT wenu kirefu cha cc kwenye engine displacement ni cubic centimeters na sio cylinder capacity.
View attachment 3181689
Point No. 2 kwenye EVs na Hybrids, tungepata watengeneza sera wanao-ona mbali tungejiweka kwenye nafasi nzuri sana kama nchi
Sure,Point No. 2 kwenye EVs na Hybrids, tungepata watengeneza sera wanao-ona mbali tungejiweka kwenye nafasi nzuri sana kama nchi.
In a nutshell! Kiuhalisia utalipa wharfage, port charges ambazo ndani yake tra wanachukua kodi zao.Hivi ni kweli ukinunua trekta hakuna Kodi yeyote utakayotozwa na hawa TRA?
Kila nchi zina policy zake, ila sisi ni moja ya nchi tulio na gharama kubwa ya kuimport gari.Bila kulifanya suala hili liwachachafye wanasiasa hakuna kitu kitafanyika. Kwani nchi zingine za SADC zinafanyaje kwenye kodi ya magari?
Bwana utuhurumie!!Kwe
Kweli mbuzi-gitaa, maana watunga sheria wetu, wao hujisikia haziwahusu bali huzitunga ili ZITUTUNGUE sisi watungiwa = walala hoi a.k.a walalamikaji na hakuna anayewajali ! " Eeh MUNGU utusikie".