Serikali kupitia TRA pitieni Mapungufu ya Kikokotoo cha Kukadiria Ushuru wa Kuingiza Magari used

Watanzania wengi ni wa kipato cha chini ndio maana serikali imeweka ushuru mdogo kwenye magari ya zamani ili watu waweze kuyamudu.

Kwa wale wachache wenye vipato vya juu ambao wanataka gari latest, kwa mtazamo wangu naona ni sawa walipe kodi ya juu.
Uchumi si umekuwa mkuu
 
Hii ni kweli kabisa na TRA wanatakiwa wabadilishe jinsi ya kutoza kodi za Magari. Wanatakiwa waongeze Kodi kwenye magari chakavu sio Magari mapya. Kuagiza gari mpya Tanzania ni anasa kubwa. Kodi ya kuagiza gari mpya Tanzania ni kubwa mno. Wakati inatakiwa iwe kinyume chake. Tusipoangalia Tanzania itageuka dampo la kuigizia Magari chakavu na kuja kuathiri afya za raia.
 
Mkuu unataka kusema matajiri kama bakhresa wenye uwezo wa kununua brand new car walipe ushuru mdogo ama halafu akina sie wenye kudunduliza dollar 3000 kwa ajili ya kuagiza gari mtumba Japan tulipe ushuru mkubwa?!
Itakua sio fair, dunia kote watu wenye vipato vikubwa ndio wanatakiwa kulipa kodi kubwa.
 
Chura kiziwi,atalifanyia kazi 2030
 
Watanzania wengi ni wa kipato cha chini ndio maana serikali imeweka ushuru mdogo kwenye magari ya zamani ili watu waweze kuyamudu.

Kwa wale wachache wenye vipato vya juu ambao wanataka gari latest, kwa mtazamo wangu naona ni sawa walipe kodi ya juu.
Daah! Aisee
Ila sema nini,
Kama hivi ndivyo basi tuna safari ndeefu sana…
Wakati Dunia inaenda kwenye Next-Gen vehicles sisi bado tunafikiria mikangafu ya 90’s na 2000’s…
That policy should be revised kwa kweli.
 
Hiyo next Gen ni Watanzania wangapi wanaweza kumudu?!
Au mnataka magari mmiliki nyinyi mwenye vipato vya juu.
Halafu hiyo mikangafu ya 90s na 2000s mbona inapigwa kodi ya kawaida + kodi ya uchakavu
 
Point No. 2 kwenye EVs na Hybrids, tungepata watengeneza sera wanao-ona mbali tungejiweka kwenye nafasi nzuri sana kama nchi.
 
Sure,
Point No. 2 kwenye EVs na Hybrids, tungepata watengeneza sera wanao-ona mbali tungejiweka kwenye nafasi nzuri sana kama nchi

Point No. 2 kwenye EVs na Hybrids, tungepata watengeneza sera wanao-ona mbali tungejiweka kwenye nafasi nzuri sana kama nchi.
Sure,
And thats where we should start to focus kwa faida ya baadae
 
Hivi ni kweli ukinunua trekta hakuna Kodi yeyote utakayotozwa na hawa TRA?
In a nutshell! Kiuhalisia utalipa wharfage, port charges ambazo ndani yake tra wanachukua kodi zao.
 
Bila kulifanya suala hili liwachachafye wanasiasa hakuna kitu kitafanyika. Kwani nchi zingine za SADC zinafanyaje kwenye kodi ya magari?
 
Bila kulifanya suala hili liwachachafye wanasiasa hakuna kitu kitafanyika. Kwani nchi zingine za SADC zinafanyaje kwenye kodi ya magari?
Kila nchi zina policy zake, ila sisi ni moja ya nchi tulio na gharama kubwa ya kuimport gari.

Kenya hatupishani sana ila Uganda wako chini sana.
 
Kwa hawa TRA Inabidi uwe mjanja sana. La sivyo utapigwa kodi kubwa, narudia inabidi uwe mjanja sana.
 
Kwe
Kweli mbuzi-gitaa, maana watunga sheria wetu, wao hujisikia haziwahusu bali huzitunga ili ZITUTUNGUE sisi watungiwa = walala hoi a.k.a walalamikaji na hakuna anayewajali ! " Eeh MUNGU utusikie".
Bwana utuhurumie!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…