Serikali kupitia Wizara ya Ardhi yatoa Orodha ya Viwanja Vilivyobatilishwa na Rais

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
Kamishna Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anawatangazia wanachi kuwa wamiliki wa viwanja na mashamba kwenye orodha hii milki zao zimebatilishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi No. 4 Sura ya 113 kwa amri ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 3 na 8 Agost 2022.



Mwananchi
 

Attachments

Kabla ya kununua kiwanja kwa Dar inatakiwa kufanya uchunguzi kwanza, vinginevyo unanua matatizo
 
Yale maeneo ya wazi yaliyoporwa na matajiri wa CCM na vibaraka wake vimo?
 
Hii kitu imekaa kimchongo simuamini huyo kamishna ni jambazi wa viwanja vya watu mbona hamma hata kimoja cha Kigamboni??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…