Serikali kupitia wizara ya mali asili wafikirie kutumia visiwa vya ziwa Victoria kwa uwekezaji wa hotel za kitalii kabla havijavamiwa na makazi holela

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Sijajua kama huwa Kuna vikao vya tathmini, lakini nadhani baadhi ya visiwa vingekuwa chini ya wizara ya mali asili moja kwa moja, na vikaangaliwa kwa fursa ya uwekezaji wa hoteli za kitalii.

Hii itasaidia uchumi wa maeneo hayo ya Kanda ya ziwa.

Pia, itasaidia utalii wa kutumia boti
 
Ninakubaliana na wewe,tatizo ni kipaumbele cha Wizara ya Utalii kustawisha vivutio kanda ya ziwa, ni kweli visiwa hivyo vingetumika pia kujenga mahoteli ya 5 stars,ili kuchangamsha utalii upande huo, kikubwa uwanja wa ndege wa Mwanza ukamilishwe pia haraka uwe wa kimataifa hapo itaongeza thamani kwani huwezi kutenganisha utalii na usafiri wa anga kimataifa.
 
Inasikitisha Kuna visiwa vipo, havijavamiwa kabisa, lakini kwa tabia zetu, vitaanza kuvamiwa na makazi holela. Tukakosa fursa.

Hata Kila Mkoa ukitenga visiwa kadhaa, ingependeza.
 
Mwanza international airport ni kitu ya muhimu sana hapo.
 
Inasikitisha Kuna visiwa vipo, havijavamiwa kabisa, lakini kwa tabia zetu, vitaanza kuvamiwa na makazi holela. Tukakosa fursa.

Hata Kila Mkoa ukitenga visiwa kadhaa, ingependeza.
Kwani makazi olela yanaziya wawekezaji kufanya yao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sijajua kama huwa Kuna vikao vya tathmini, lakini nadhani baadhi ya visiwa vingekuwa chini ya wizara ya mali asili moja kwa moja, na vikaangaliwa kwa fursa ya uwekezaji wa hoteli za kitalii.

Hii itasaidia uchumi wa maeneo hayo ya Kanda ya ziwa.

Pia, itasaidia utalii wa kutumia boti
Yap. Kweli
 
Back
Top Bottom