Inasikitisha Kuna visiwa vipo, havijavamiwa kabisa, lakini kwa tabia zetu, vitaanza kuvamiwa na makazi holela. Tukakosa fursa.Ninakubaliana na wewe,tatizo ni kipaumbele cha Wizara ya Utalii kustawisha vivutio kanda ya ziwa, ni kweli visiwa hivyo vingetumika pia kujenga mahoteli ya 5 stars,ili kuchangamsha utalii upande huo, kikubwa uwanja wa ndege wa Mwanza ukamilishwe pia haraka uwe wa kimataifa hapo itaongeza thamani kwani huwezi kutenganisha utalii na usafiri wa anga kimataifa.
Kwani makazi olela yanaziya wawekezaji kufanya yaoInasikitisha Kuna visiwa vipo, havijavamiwa kabisa, lakini kwa tabia zetu, vitaanza kuvamiwa na makazi holela. Tukakosa fursa.
Hata Kila Mkoa ukitenga visiwa kadhaa, ingependeza.
Yap. KweliSijajua kama huwa Kuna vikao vya tathmini, lakini nadhani baadhi ya visiwa vingekuwa chini ya wizara ya mali asili moja kwa moja, na vikaangaliwa kwa fursa ya uwekezaji wa hoteli za kitalii.
Hii itasaidia uchumi wa maeneo hayo ya Kanda ya ziwa.
Pia, itasaidia utalii wa kutumia boti