Najua haitakuwa ni tiba ya kudumu ila nashauri Nape tumbotumbo Nauye atolewe pale kwenye ile nafasi anapwaya sana.
Magufuli alimtoa tukaona anaonewa lakini ukweli ni kwamba kijana hana sifa za kuwa waziri wa mawasiliano huyo wanaweza kwenda kumpa ukuu wa wilaya ndio wadhifa wake huku juu anapuyanga tu.