Serikali kupoteza mabilioni sababu ya tatizo la Internet

Serikali kupoteza mabilioni sababu ya tatizo la Internet

kama nia yako kubisha endelea kubisha lakini fahamu anayekwambia ni mtaalamu wa mawasiliano kama umeona improvement basi ni hiyo backup link wanayotaka kuiupgrade capacity
Anayeniambia ni mshamba wa kusini na siyo mtaalamu wa mawasiliano 🤒😎
 
Ndio.. na hiyo ya m'badala imezidiwa, mzigo mkubwa

Ndiyo maana wamesema hapo wanafanya Capacity Upgrade ,means wanaongeza Pipe width ili mzigo upite mwingi.....STM-1 ina 154MBps possible wanaweza wakaweka SMT-64.
 
Najua haitakuwa ni tiba ya kudumu ila nashauri Nape tumbotumbo Nauye atolewe pale kwenye ile nafasi anapwaya sana.

Magufuli alimtoa tukaona anaonewa lakini ukweli ni kwamba kijana hana sifa za kuwa waziri wa mawasiliano huyo wanaweza kwenda kumpa ukuu wa wilaya ndio wadhifa wake huku juu anapuyanga tu.
 
Back
Top Bottom