Serikali Kusaini Sheria ya Kima cha Chini cha Mishahara Sekta Binafsi

Serikali Kusaini Sheria ya Kima cha Chini cha Mishahara Sekta Binafsi

1: zibiti mfumuko wa bei.inch ina kila kitu lkn hakuna viwanda vya maana na uzalishaji kwa hao wachache gharama yake ni sawa na anaeagiza toka china.
2: mzunguko wa hela uwe mkubwa
 
Ndio maana wanapandisha ili iendane na hiyo inflation.
Nchi kama Tanzania ambayo 3/4 ya bidhaa inaagiza nje na haina viwanda watazuia vipi inflation?
Kupandisha mshahara kwa kuangalia inflation, HAPO HUJAPANDISHA MSHAHARA, BALI UME-MAINTAIN PURCHASING POWER...!!! Asume, mshahara wako ni Tshs 8,000/-, Kama kilo ya nyama ilikuwa inauzwa Tshs 8,000/- kabla ya mshahara kupanda, nyama ikipanda hadi kufika Tshs. 10,000/- kwa ile ile kilo moja, maana yake kuna ongezeko la Tshs 2,000/- kwa kilo. Sasa hapo maana yake inflation ni Tshs 2,000/-. Sasa ukiongezeka Tshs. 2,000/- kwenye mshahara wako na kufika Tshs. 10,000/-, maana yake umepewa tu uwezo wa kuendelea kuweza kupata ile ile kilo moja..!! Sasa practically, hilo si ongezeko, ni kukuwezesha tu uweze kununua kilo moja ya nyama kama zamani ulipokuwa unalipwa 8,000/-. Ongezo maana yake bei ya vitu imebaki pale pale lakini wewe una mshahara mkubwa zaidi ya mwanzo kabla haujapandishwa.
 
Mshahara hulipwa kwa kuangalia unazalisha nini..!!! Nikuulize, house girl wako unamlipa milioni moja?
Logic ya point yangu ni kwamba ,solution si kuongeza mshahara .Solution ni kushusha mfumuko wa bei kwa direct method ya kushusha kodi kwenye bidhaa na huduma kupitia TRA , hivyo bei za bidhaa na huduma zitashuka sana so hata house girl wa kulipwa laki ataishi vizuri tu .Na at the same time ni win win kwa kila mtu katika uchumi maana kwa upande wa consumers ni kuwa na mfumuko wa bei ndogo so ,maisha yanakuwa cheap na unaweza ishi vizuri tu na kusave pesa kwa mshahara mdogo na kwa mfanyabiashara ataweza kuwekeza zaidi katika biashara yake na kuikuza hivyo kuajiri zaidi na kuongeza ajira pia hata uwekezaji katika hiyo biashara na in long run serikali itapata kodi zaidi kwa ukuaji wa biashara maana kodi ni ndogo , biashara zinakua na uzalishaji katika uchumi unakuwa mkubwa huku inflation inakuwa ndogo .
Pia purchasing power ya pesa inakuwa kubwa kwani unaweza kununua vitu vingi kwa pesa kidogo na si kubwa na burungutu la pesa ambalo haliwezi kununua vitu vya maana na kusustain maisha .
Ukishindwa kuelewa simple logic kama hii basi utakuwa akili huna
 
Serikali imesema inatarajia kusaini Sheria ya Mwongozo wa Kima cha Chini cha Mshahara kwa Taasisi za Sekta Binafsi, zinazofanya kazi nchini.

Imesema katika mwongozo huo wa hivi karibuni, unatarajia kuainisha viwango vipya vya mshahara, kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kulipwa.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hayo mwishoni mwa wiki, jijini Arusha.

View attachment 3444568
Isisahau na ile ya katiba mpya,ihusise na tume huru kiukweli kqeli na si kiuongo uongooo!
 
Sure,leo nmeenda kkoo na 100k nimenunua kufuli za wife na wanangu nikarudi pesa haina tena dhamani
Ndio ninachomaanisha hapa ,tatizo watanzania wengi ni mazuzu na elimu kama hizi za kiuchumi hawafuatiliwi wala kuelewa ,unaweza kuwa unalipwa pesa kiasi kikubwa lakini ambacho chote hakina thamani kwani mfumuko wa bei ni mkubwa na pesa haina thamani .So solution si kuendelea kuongeza mshahara kwani unaongeza ukubwa wa tatizo la mfumuko wa bei ,solution ni kupunguza kodi na kutengeneza policies zinazochochea inflation kushuka sana na thamani ya pesa kuongezeka
 
Mshahara wa milioni moja imeshakuwa upuuzi , hautoshi kwa mtu kuishi comfortably .Imagine .
Nchi ya wapumbavu hii inakera sana .
Kodi kwenye bidhaa na huduma ulifaa zishushwe sana ili Bei zishuke sana na kuongeza consumption na mzunguko wa pesa na si kuwa na stagflation kama tuliyonayo sasa , unakuwa na mfumuko wa bei na at the same time mzunguko wa pesa ni mdogo sana .
Haya mapuuzi yaliyopelekana huko BOT na wizara ya fedha kwa rushwa na nepotism sijui huwa yanafanya nini . Kuna haja ya kufukuza hizi kenge zote zinazojiita wachumi na kuajiri Engineers kuendesha mambo
Ni bahati mbaya hujasomea uchumi.
 
Ndio maana wanapandisha ili iendane na hiyo inflation.
Nchi kama Tanzania ambayo 3/4 ya bidhaa inaagiza nje na haina viwanda watazuia vipi inflation?
Kodi kushushwa ni direct method na effective way ya kupambana na inflation . Msichokijua ni kwamba Tanzania ni moja ya nchi zinazonyonya sana kodi hapa Afrika na ni investors unfriendly kwa hili ,kodi zenyewe zinazonyonya zinaishia kwenda kugawiwa kwa machawa wa mfumo wa kishenzi wa CCM wake kutamba mitaani na kutengeneza abuses of power .No wonder foreign direct investment bado ni ndogo mno
 
Kitu kinauzwa shilingi mia tatu china ,Kodi za Tanzania zinasababisha mpaka kinauzwa zaidi ya elfu tano ,ni upuuzi huu .Pesa haiwezi kuwa na thamani kwa mwendo huu
 
Mfano mzuri ni kwenye bei za magari ,nadhani waagizaji wa magari wataelewa kinachoandikwa hapa , kodi inakuwa zaidi ya mara mbili ya bei ya gari ,ni upuuzi gani huu ? ,Hili ni tatizo kubwa .Ni hivyo hivyo kwa bidhaa zote
 
Mpaka senator wa Marekani huko anaelewa hili ,nashangaa mataahira yaliyoko kwenye ngazi za maamuzi huko hawaelewi .
Tena katutolea mfano kabisa sisi vichwa maji Tanzania
Msikilize ni huyo senator wa Marekani
 

Attachments

  • 5088092-cdf20f64ef03ab0fc22fb8f7a1853860.mp4
    6.4 MB
Hizi ni habari njema sana .. hongereni sana serikali kwa kujali wananchi wake
 
Sure,leo nmeenda kkoo na 100k nimenunua kufuli za wife na wanangu nikarudi pesa haina tena dhamani
Imagine laki inaishia kwenye kununua chupi , kuna kupiga hatua kimaisha kweli hapo ? .Maana wewe kama mfanyakazi lazima uwe na savings kwa ajili ya mipango yako ya baadaye na pia kutimiza malengo yako ya kiuchumi .
 
Back
Top Bottom