Wewe unaona suluhisho nini mbadala wa mikopo??Mpaka senator wa Marekani huko anaelewa hili ,nashangaa mataahira yaliyoko kwenye ngazi za maamuzi huko hawaelewi .
Msikilize ni huyo senator wa Marekani
Wewe unaona suluhisho nini mbadala wa mikopo??Mpaka senator wa Marekani huko anaelewa hili ,nashangaa mataahira yaliyoko kwenye ngazi za maamuzi huko hawaelewi .
Msikilize ni huyo senator wa Marekani
Hapo unakuwa hauja pandisha mishahara bali umeziba kiraka cha inflation....tulisema hapa kuwa bwawa la umeme likikamilika umeme ushushwe bei kwa nusu ili kuchavusha uchumi na kupunguza kabisa inflation rates ...Ndio maana wanapandisha ili iendane na hiyo inflation.
Nchi kama Tanzania ambayo 3/4 ya bidhaa inaagiza nje na haina viwanda watazuia vipi inflation?
Mikopo sio tatizo ,msikilize huyo senator na uelewe anachomaanisha . Kasema tatizo ni kodi .Na kwa vile sisi tunaongizwa na mazuzu ambayo yanakopa kama mchwa na utaishia kutawanya ovyo hicho kilichokopwa matokeo yake ni kuishia kuminya kodi zisizostaimilivu na kuumiza uchumi wa nchi kama kinachofanyika hapa Tanzania ili kulipa riba za hiyo mikopo ambayo kwa kiasi kikubwa imetumika kunufaisha matumbo ya wapuuzi wachache serikalini,madeni ya mikopo lazima ilipwe na riba pia .Lakini kama mikopo ingekuwa inatumika kwenye vitu ambavyo vinaleta direct stimulation kwenye uchumi kama inavyotakiwa kwa asilimia mia hata madeni yangelipika tu kwa kodi stahimilivu ambazo haziumizi wananchi , biashara na uchumi kama kinachoendelea ndani humu sasa hivi .So hapo unaelewa kwamba tatizo si mikopo tu tatizo ni aina ya watu tulionao wanaoongoza nchi zetu hiziWewe unaona suluhisho nini mbadala wa mikopo??
Changamoto ya kodi ni ipi??Mikopo sio tatizo ,msikilize huyo senator na uelewe anachomaanisha . Kasema tatizo ni kodi .Na kwa vile sisi tunaongizwa na mazuzu ambayo yanakopa kama mchwa na utaishia kutawanya ovyo hicho kilichokuwa matokeo yake ni kuishia kuminta kodi zisizostaimilivu na kuumiza uchumi wa nchi kama kinachofanyika hapa Tanzania ,madini mikopo lazima ilipwe na riba pia .Lakini kama mikopo ingekuwa inatumika kwenye vitu ambavyo vinaleta direct stimulation kwenye uchumi kama inavyotakiwa kwa asilimia mia hata madeni yangelipika tu kwa kodi stahimilivu ambazo hazitumiki wananchi , biashara na uchumi kama kinachoendelea ndani humu sasa hivi .So hapo unaelewa kwamba tatizo si mikopo tatizo ni aina ya watu tulionao
Solution ni kushusha kodiWewe unaona suluhisho nini mbadala wa mikopo??
Kwamba hujaelewa kilichoandikwa huko juu ?Changamoto ya kodi ni ipi??
Sekta binafsi ni wakorofi sn huwa hawalipi, mtu anakaa miaka zaidi ya 20 hakuna nyongeza ya mshahara ht sentiSerikali imesema inatarajia kusaini Sheria ya Mwongozo wa Kima cha Chini cha Mshahara kwa Taasisi za Sekta Binafsi, zinazofanya kazi nchini.
Imesema katika mwongozo huo wa hivi karibuni, unatarajia kuainisha viwango vipya vya mshahara, kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kulipwa.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hayo mwishoni mwa wiki, jijini Arusha.
View attachment 3444568
Haya,Kwamba hujaelewa kilichoandikwa huko juu ?
Kasome huko juu hoja zangu utaelewa .
Acha uvivu wa kusoma
Ukishusha kodi, huduma za jamii zinaendaje?Solution ni kushusha kodi
We mpk mamako ni mpumbavu, hv from no where unaitaje nchi ya wapumbavu, we mbwa km unaumwa nenda katibiwe. Huwezi kuwaita watanzania wote wapumbavu. Ningejua uko wapi ungejuta kuzaliwa.Mshahara wa milioni moja imeshakuwa upuuzi , hautoshi kwa mtu kuishi comfortably .Imagine .
Nchi ya wapumbavu hii inakera sana .
Kodi kwenye bidhaa na huduma ulifaa zishushwe sana ili Bei zishuke sana na kuongeza consumption na mzunguko wa pesa na si kuwa na stagflation kama tuliyonayo sasa , unakuwa na mfumuko wa bei na at the same time mzunguko wa pesa ni mdogo sana .
Haya mapuuzi yaliyopelekana huko BOT na wizara ya fedha kwa rushwa na nepotism sijui huwa yanafanya nini . Kuna haja ya kufukuza hizi kenge zote zinazojiita wachumi na kuajiri Engineers kuendesha mambo
Ufafanuzi mzuri sana, Hata Mimi niliekimbia umande Kuna kitu nimeambulia kuhusu maana ya inflation 🙏Kupandisha mshahara kwa kuangalia inflation, HAPO HUJAPANDISHA MSHAHARA, BALI UME-MAINTAIN PURCHASING POWER...!!! Asume, mshahara wako ni Tshs 8,000/-, Kama kilo ya nyama ilikuwa inauzwa Tshs 8,000/- kabla ya mshahara kupanda, nyama ikipanda hadi kufika Tshs. 10,000/- kwa ile ile kilo moja, maana yake kuna ongezeko la Tshs 2,000/- kwa kilo. Sasa hapo maana yake inflation ni Tshs 2,000/-. Sasa ukiongezeka Tshs. 2,000/- kwenye mshahara wako na kufika Tshs. 10,000/-, maana yake umepewa tu uwezo wa kuendelea kuweza kupata ile ile kilo moja..!! Sasa practically, hilo si ongezeko, ni kukuwezesha tu uweze kununua kilo moja ya nyama kama zamani ulipokuwa unalipwa 8,000/-. Ongezo maana yake bei ya vitu imebaki pale pale lakini wewe una mshahara mkubwa zaidi ya mwanzo kabla haujapandishwa.
Nani alikudanganya kuminya kodi kubwa isiyo na uhalisia ndio kuleta maendeleo katika jamii ? , hizo kodi kubwa zisizo na uhalisia na mikopo mikubwa inayoishia kwenye matumbo ya mafisadi + ubinafsishaji wa ppp wa kifisadi wewe na jamii yako vimekufaidisha nini miaka yote hiyo ?Ukishusha kodi, huduma za jamii zinaendaje?
Barabara, maji, umeme??
Mbadala wake ni nini?
Wewe kum@ unayewashwa makalio ndio ninarefer kama mpumbavu , mkundyu wako huo umeoza mpaka umeanza kuwasha unatafuta wa kupachika mpini humu au sio ?We mpk mamako ni mpumbavu, hv from no where unaitaje nchi ya wapumbavu, we mbwa km unaumwa nenda katibiwe. Huwezi kuwaita watanzania wote wapumbavu. Ningejua uko wapi ungejuta kuzaliwa.
Kodi zinaweza shuka mara dufu na hizo huduma zikaendelea kufanyika vizuri sana tena sana zaidi ya sasa , tatizo sio makusanyo tatizo ni mifumo mibovu ya usimamizi wa matumizi ya pesa inayokusanywa ,kafuatilie report za CAG miaka hii yote uone Madudu yaliyomo kwenye mfumo wa matumizi ya pesa za serikali nchi hii .Ukishusha kodi, huduma za jamii zinaendaje?
Barabara, maji, umeme??
Mbadala wake ni nini?
CAG hakagui wiziKodi zinaweza shuka mara dufu na hizo huduma zikaendelea kufanyika vizuri sana tena sana zaidi ya sasa , tatizo sio makusanyo tatizo ni mifumo mibovu ya usimamizi wa matumizi ya pesa inayokusanywa ,kafuatilie report za CAG miaka hii yote uone Madudu yaliyomo kwenye mfumo wa matumizi ya pesa za serikali nchi hii .
KUFULI ZA LAKI.....WANAFUNGIA NINI?🤤Sure,leo nmeenda kkoo na 100k nimenunua kufuli za wife na wanangu nikarudi pesa haina tena dhamani
ukinunua za buku buku ni vyupi 100,za buku mbili ni vyupi 50 za buku tatu ni vyupi 33 ukinunua za buku nne ni vyupi 25 ukinunua za buku tano ni vyupi 20.....UNANUNUA VYUPI KILA MWEZI?Imagine laki inaishia kwenye kununua chupi , kuna kupiga hatua kimaisha kweli hapo ? .Maana wewe kama mfanyakazi lazima uwe na savings kwa ajili ya mipango yako ya baadaye na pia kutimiza malengo yako ya kiuchumi .
kodi kunwa isiyo na uhalisia ikoje??Nani alikudanganya kuminya kodi kubwa isiyo na uhalisia ndio kuleta maendeleo katika jamii ?
kodi kubwa isiyo na uhalisia ndio nini?, hizo kodi kubwa zisizo na uhalisia
Ithibitisho wa mikopo mikubwa luliwa na mafisadi uko wapi??na mikopo mikubwa inayoishia kwenye matumbo ya mafisadi + ubinafsishaji wa ppp wa kifisadi wewe na jamii yako vimekufaidisha nini miaka yote hiyo ?
Hebu tupate majibu