Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Yes..!! WORD, but Mshahara hulipwa kwa kuangalia unazalisha nini..!!! Nikuulize, house girl wako unamlipa milioni moja?Word
Sheria inasainiwa. Itahusu ajira zote za mikataba.Nani wa kusimamia hiyo sheria? Wanazuga tu hawa.
Elewa logic ya point yangu na si kukurupukaMshahara hulipwa kwa kuangalia unazalisha nini..!!! Nikuulize, house girl wako unamlipa milioni moja?
Kupandisha mshahara kwa kuangalia inflation, HAPO HUJAPANDISHA MSHAHARA, BALI UME-MAINTAIN PURCHASING POWER...!!! Asume, mshahara wako ni Tshs 8,000/-, Kama kilo ya nyama ilikuwa inauzwa Tshs 8,000/- kabla ya mshahara kupanda, nyama ikipanda hadi kufika Tshs. 10,000/- kwa ile ile kilo moja, maana yake kuna ongezeko la Tshs 2,000/- kwa kilo. Sasa hapo maana yake inflation ni Tshs 2,000/-. Sasa ukiongezeka Tshs. 2,000/- kwenye mshahara wako na kufika Tshs. 10,000/-, maana yake umepewa tu uwezo wa kuendelea kuweza kupata ile ile kilo moja..!! Sasa practically, hilo si ongezeko, ni kukuwezesha tu uweze kununua kilo moja ya nyama kama zamani ulipokuwa unalipwa 8,000/-. Ongezo maana yake bei ya vitu imebaki pale pale lakini wewe una mshahara mkubwa zaidi ya mwanzo kabla haujapandishwa.Ndio maana wanapandisha ili iendane na hiyo inflation.
Nchi kama Tanzania ambayo 3/4 ya bidhaa inaagiza nje na haina viwanda watazuia vipi inflation?
Eleza logic yakoElewa logic ya point yangu na si kukurupuka
Logic ya point yangu ni kwamba ,solution si kuongeza mshahara .Solution ni kushusha mfumuko wa bei kwa direct method ya kushusha kodi kwenye bidhaa na huduma kupitia TRA , hivyo bei za bidhaa na huduma zitashuka sana so hata house girl wa kulipwa laki ataishi vizuri tu .Na at the same time ni win win kwa kila mtu katika uchumi maana kwa upande wa consumers ni kuwa na mfumuko wa bei ndogo so ,maisha yanakuwa cheap na unaweza ishi vizuri tu na kusave pesa kwa mshahara mdogo na kwa mfanyabiashara ataweza kuwekeza zaidi katika biashara yake na kuikuza hivyo kuajiri zaidi na kuongeza ajira pia hata uwekezaji katika hiyo biashara na in long run serikali itapata kodi zaidi kwa ukuaji wa biashara maana kodi ni ndogo , biashara zinakua na uzalishaji katika uchumi unakuwa mkubwa huku inflation inakuwa ndogo .Mshahara hulipwa kwa kuangalia unazalisha nini..!!! Nikuulize, house girl wako unamlipa milioni moja?
Sure,leo nmeenda kkoo na 100k nimenunua kufuli za wife na wanangu nikarudi pesa haina tena dhamaniMnapandisha mishahara ila inflation nayo inapanda kila siku , rent ,food NK so work done =0 .Akili ni ,kushusha inflation kwenye uchumi
Isisahau na ile ya katiba mpya,ihusise na tume huru kiukweli kqeli na si kiuongo uongooo!Serikali imesema inatarajia kusaini Sheria ya Mwongozo wa Kima cha Chini cha Mshahara kwa Taasisi za Sekta Binafsi, zinazofanya kazi nchini.
Imesema katika mwongozo huo wa hivi karibuni, unatarajia kuainisha viwango vipya vya mshahara, kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kulipwa.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hayo mwishoni mwa wiki, jijini Arusha.
View attachment 3444568
Ndio ninachomaanisha hapa ,tatizo watanzania wengi ni mazuzu na elimu kama hizi za kiuchumi hawafuatiliwi wala kuelewa ,unaweza kuwa unalipwa pesa kiasi kikubwa lakini ambacho chote hakina thamani kwani mfumuko wa bei ni mkubwa na pesa haina thamani .So solution si kuendelea kuongeza mshahara kwani unaongeza ukubwa wa tatizo la mfumuko wa bei ,solution ni kupunguza kodi na kutengeneza policies zinazochochea inflation kushuka sana na thamani ya pesa kuongezekaSure,leo nmeenda kkoo na 100k nimenunua kufuli za wife na wanangu nikarudi pesa haina tena dhamani
Ni bahati mbaya hujasomea uchumi.Mshahara wa milioni moja imeshakuwa upuuzi , hautoshi kwa mtu kuishi comfortably .Imagine .
Nchi ya wapumbavu hii inakera sana .
Kodi kwenye bidhaa na huduma ulifaa zishushwe sana ili Bei zishuke sana na kuongeza consumption na mzunguko wa pesa na si kuwa na stagflation kama tuliyonayo sasa , unakuwa na mfumuko wa bei na at the same time mzunguko wa pesa ni mdogo sana .
Haya mapuuzi yaliyopelekana huko BOT na wizara ya fedha kwa rushwa na nepotism sijui huwa yanafanya nini . Kuna haja ya kufukuza hizi kenge zote zinazojiita wachumi na kuajiri Engineers kuendesha mambo
Wanazalisha nini? Usitake kuniambia wa kuzalisha biskuti afanane na wa kuzalisha gesi..!! AU wa kuzalisha mkonge afanane na wa kuzalisha dhahabu kwenye mshahara.Jambo jema, maana Kuna wafanyakazi hizo sekta wanalipwa pesa ndogo sana
Kodi kushushwa ni direct method na effective way ya kupambana na inflation . Msichokijua ni kwamba Tanzania ni moja ya nchi zinazonyonya sana kodi hapa Afrika na ni investors unfriendly kwa hili ,kodi zenyewe zinazonyonya zinaishia kwenda kugawiwa kwa machawa wa mfumo wa kishenzi wa CCM wake kutamba mitaani na kutengeneza abuses of power .No wonder foreign direct investment bado ni ndogo mnoNdio maana wanapandisha ili iendane na hiyo inflation.
Nchi kama Tanzania ambayo 3/4 ya bidhaa inaagiza nje na haina viwanda watazuia vipi inflation?
Imagine laki inaishia kwenye kununua chupi , kuna kupiga hatua kimaisha kweli hapo ? .Maana wewe kama mfanyakazi lazima uwe na savings kwa ajili ya mipango yako ya baadaye na pia kutimiza malengo yako ya kiuchumi .Sure,leo nmeenda kkoo na 100k nimenunua kufuli za wife na wanangu nikarudi pesa haina tena dhamani