Serikali Kushindana na JF?

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
Engineer,

Hapa JF kuna sections mbalimbali ikiwemo ushauri, uchumi na biashara, jaribu kupitia na utaona watu wanatoa ushauri kwa serikali.......hata hapa hapa section ya siasa watu hutoa ushauri.................................kama utapenda kuona kile unachotaka unakuwa huwatenedei haki wanaJF amabo wanajitahidi kil kukicha kutoa ushauri...................

kama wewe kweli ni mserikali.................hii inathibitisha tatizo la serikali kwamba hata wawe exposed vipi au hata waelemishwe vipi bado wao hawaoni cha kuchukua na kupractice kwa faida ya wananchi............. tatizo lile lile kufunga masikioo na kujifanya hakuna solution...................hivi unataka kuniambia kwa mfano katika mikataba ya madini viongozi wetu walishindwa hata kuiga kidogo kutoka Botswana wenzetu wamewakaje sheria zao za madini na mikataba yao ikoje..............au ndio ile ile hadithi ya kutaka kuona na kula unachopenda???..............haw haw aviongozi wetu kila kukicha wako majuu.............hivi wanajifunza nini huko??...............ndio maana mtu kama Mungai et al .................nawashnagaa wanafanya nini kwenye cabinet hadi leo hii pamoja na usomi na exposure yao in maendeleo yet still.............they don't practice/implement project za uhakika hapa nyumbani..................

Engineer.........Ushauri ni pamoja na kuipigia kelele serikali kuwa inachokifanya itailetea hasara TAIFA...................kama wangekuwa wa kusikiliza ushauri................basi atleast hata hizi kelele za hapa JF wangezisikia..................wameamua kuziba masikio na kusema TUNAPAA.....na huku RICHMONDs zikiendelea
 

Kwa heshima zote...
Kama Injinia, basi usiweke vyuma tu kwenye glovu yako! Kwi Kwi Kwi


Kama hawaambiliki cha kufanya na wabunge ambao ndio wananchi wenyewe ni lipi hasa tuwaambie wafanye?

Kwa hilo suala la forum. Serikali au hiyo daily news kuwa na forum kama hiyo ni wakuiga na kama wana JF wanavyosema sababu kubwa nikuona jinsi gani tovuti hii inavyojenga hoja na kuzichambua bila ya woga hoja hizo- na ukumbuke kwamba uigizaji katika nyanja hii ya teknolojia ni wa kawaida tu hata wale-wanaojiita wameendelea (developed countries)wanaiga wenzao pale wanapoona mvutio,katika nyanja hii, inatokea! Lakini mimi naamini sababu mojayapo ni ushindani wa kibiashara tu, na inaweza kuvutia zaidi trafik. Sidhani kama ni ushindani wa kisiasa. Walakini kuanzisha hiyo forum, hapo tu ni wazo zuri.
Kujibu swali lako..."sisi tukiwa kama ma-IT technicians wa serikali nini tufanye ili kitu chetu kionekane makini na kizuri?"
Mawazo bunifu + Uadirifu kazini,kasi mpya na ari mpya!
 


Watoto wa kijiji cha Kitopeni, Bagamoyo.



Kijiji cha Kitopeni, Bagamoyo jana jioni.



Credit: Mjengwa blog




Hapa ni bandari salam, Je unaamini? vurugu mechi tupu.



Swala sio mashindano bali ni hoja ambayo itawezesha Tanzania ijinasue kutoka kwenye umasikini uliokubuhu. Ni aibu miaka 46 tangu tupate uhuru bado mbavu za mbwa zimetanda katika nchi yetu huku wageni wakishirikiana na watanzania waliopewa dhamana ya kuongoza na kuona keki ya taifa inagawanywa sawa kwa kila raia inachezewa na watu wachache kwa kupewa peremende.
 
Geeque.......

taratibu kaka,yaani duh unatudharau ndugu zako,wa-tz wenzako licha ya kuwa tumekula shule na tumo serikalini hatuwezi kufanya kazi hiyo mpaka tukachukue mtaalamu skandanavia?TUOMBE RADHI NDUGU TENA KWA MAANDISHI MAKUBWA.

hahahaha Hapana Eng Mohamed sitoomba radhi kabisa kuhusiana na matamshi yangu. Nilichokiongea ni kweli kwani inachosha sana kuona watumishi kama nyinyi wa serikali ambao mmesoma lakini bado mnashindwa kufanya kazi zenu kwa ufanisi na kuishia kwenye ubabaishaji. Huyo aliye-set up Forum alipaswa kujua huwezi kuifanya topic kuwa category hata siku moja. Mimi niko tayari wakati wowote kusaidia ku-set up hiyo Forum. Hakuna faraja kama kuona kitu kinachohusiana na nchi yako kinafanywa kwa ufanisi wa hali ya juu. Ni kweli nchi yetu masikini lakini tusiwe masikini wa kiakili na kushindwa kufanya ubunifu uliyo ndani ya uwezo wetu. Matamshi yangu yalikuwa kama changamoto kwa baadhi ya wataalam wa Serikali ambao wanaona ubora si kitu cha kuzingatiwa katika kazi zao.
 

Well said Mazee, maneno mazito hayo...................unajua wale watu smart..............just try to re-call in your former school class.......ni wangapi waliopo serikalini??!!..........sasa ujue hata wale smart wachache waliopo serikalini wanaburuzwa na mambumbumbu wengi kama ambavyo wabunge wa CCM mbumbumbu wanavyowaburuza wenzao smart wachache kule Dom
 
Engineer Mohamed
Sio kwamba hatuiungi mkono nchi yetu, mimi binafsi ninaipenda sana nchi yangu ila siwapendi watendaji wake ambao wamekuwa shingo ngumu, kibri na hawaambiliki. Najua tatizo laweza lisiwe wanasiasa kama wengi tunavyodhani, ila natilia shaka sana watendaji wa kuteuliwa na kuajiriwa hao ndio ambao wanaendesha mambo serikalini, hivyo kuiambia serikali kuwa haifai ina maana na watendaji wake pia hawafai chukulia mfano wataalam wa bajeti ya mwaka huu walivyoidanganya serikali hadi ikaoverfloood matumizi yake.
Hongera lakini kwa kuamua kurejea home na kupiga mzigo ktk forum ya serikali. Ingawa mmeweka mkwara mkali kuhusu watu kuichafua serikali kwa tuhuma, ni kweli serikali huchafuliwa kwa tuhuma tena zikiwa za kweli. Hivyo naona nibaki kutoa madongo yangu hapa hapa JF kwani ninalindwa na watu hawaogopi kutolea ushahidi hapa, ila huko kwa serikali mhh maumivu.

siwapigi madongo ila nasema kilichomo mtimani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…