Nakumbuka nikiwa chuo kikuu mwaka wa kwanza, tuliambiwa tutaletewa laptop, printer na vitu kadhaa hivi, ila tulitakiwa kuchangia sh. 360, kila mmoja atakae taka, lakini mpango ule ulipo ishia mpaka nmemaliza sielewi nn kinaendelea.
Hizo tablet watazigawaje kwenye nchi yenye urasim kama hii, na ukizingatia wengi wetu sio watiifu kwa nchi/ serikali.
Yaani ukisema kila mwalim achukue tablet moja utashangaa kachukua nne au saba nk.
Hilo suala naona lipo kipolitics zaidi ni kama wimbo wa ndio mzaa anapo sema atawapeleka wanafunzi kwenda kufanya practical mwezini.