Serikali kutoa tabuleti ya kufundishia SEKONDARI

Serikali kutoa tabuleti ya kufundishia SEKONDARI

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
14,593
Reaction score
5,581
Serikali imekusudia kutoa tabuleti ya kufundishia masomo mbalimbali kwa shule za sekondari hapa nchini.ili kukamilisha mpango huo serikali imeingia ushirikiano na taasisi ya kimarekani ya Opportunity Education. Mpango huo ulitangazwa na rais kikwete alipokuwa akizungumza na mmiliki wa taasisi hiyo isiyokuwa ya kiserikali ajulikanaye kwa jina la Joe Ricketts.
Sosi Nabari leo 28/01/2014
 
Tabuleti ndio nini? Kidogo nidhani tabuley yule mwanamuziki wa kongo
 
Nakumbuka nikiwa chuo kikuu mwaka wa kwanza, tuliambiwa tutaletewa laptop, printer na vitu kadhaa hivi, ila tulitakiwa kuchangia sh. 360, kila mmoja atakae taka, lakini mpango ule ulipo ishia mpaka nmemaliza sielewi nn kinaendelea.

Hizo tablet watazigawaje kwenye nchi yenye urasim kama hii, na ukizingatia wengi wetu sio watiifu kwa nchi/ serikali.
Yaani ukisema kila mwalim achukue tablet moja utashangaa kachukua nne au saba nk.

Hilo suala naona lipo kipolitics zaidi ni kama wimbo wa ndio mzaa anapo sema atawapeleka wanafunzi kwenda kufanya practical mwezini.
 
Ni ndoto yenye nia njema isiyotekelezeka kama zilivyo ndoto nyingi nyingine za serikali hii.
 
Tablet za kutumia bettery? Tutacharge wapi?
 
Kuna harufu ya "EPA" na "Richmond" kwa mbali....
 
Back
Top Bottom