Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Serikali imekusudia kutoa tabuleti ya kufundishia masomo mbalimbali kwa shule za sekondari hapa nchini.ili kukamilisha mpango huo serikali imeingia ushirikiano na taasisi ya kimarekani ya Opportunity Education. Mpango huo ulitangazwa na rais kikwete alipokuwa akizungumza na mmiliki wa taasisi hiyo isiyokuwa ya kiserikali ajulikanaye kwa jina la Joe Ricketts.
Sosi Nabari leo 28/01/2014
Sosi Nabari leo 28/01/2014