Mduzi wa mambo
New Member
- Oct 18, 2023
- 4
- 5
Kwa mda mrefu watumishi wapya Halmashauri tofauti tofauti wamekuwa wakilalamika kutopewa pesa za kujikimu wengine zaidi ya miezi 6 hadi mwaka tangu kuajiriwa na wengine kupewa nusu ya malipo stahiki.
Je tatizo ni mamlaka za Halmashauri au serikali kuu kupitia hazina, kwanini serikali kuu ipo KIMYA haitoi tamko hadharani KUJIBU malalamiko hayo.
Je tatizo ni mamlaka za Halmashauri au serikali kuu kupitia hazina, kwanini serikali kuu ipo KIMYA haitoi tamko hadharani KUJIBU malalamiko hayo.