KERO Serikali kuu mbona ipo kimya kuhusu pesa za kujikimu za watumishi, au wao ndo tatizo?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mduzi wa mambo

New Member
Joined
Oct 18, 2023
Posts
4
Reaction score
5
Kwa mda mrefu watumishi wapya Halmashauri tofauti tofauti wamekuwa wakilalamika kutopewa pesa za kujikimu wengine zaidi ya miezi 6 hadi mwaka tangu kuajiriwa na wengine kupewa nusu ya malipo stahiki.

Je tatizo ni mamlaka za Halmashauri au serikali kuu kupitia hazina, kwanini serikali kuu ipo KIMYA haitoi tamko hadharani KUJIBU malalamiko hayo.
 
Ajira mpya 2026 kada ya afya halmashauri ya wilaya kibaha, Hadi sasa hatujapata fedha za kujikimu na serikali imeshafikisha hzo fedha wilayani, na hakuna maelezo yanayoeleweka hadi sasa kuhusiana na hzo fedha tunapokea lini ili hali wilaya zingne tayari wameshapokea fedha zao tokea wiki iliyopita!
Serikali kiukweli tunaomba muingilie kati suala hili! Watumishi wa mwaka jana wanasema pia walipewa hela nusu na hadi leo hawajamaliziwa!
Kuna mengi yanaendelea wilayani kwetu, wakiendelea kuchelewesha hzo fedha, basi tutayasema yote hapa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…