GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwamba mimi hata uenyekiti wa kijiji sipo
Daah
Bila shaka MkuuKatika Watu wanaotakiwa Kushirikishwa katika Kufanya ' Decision Making ' au ' Voting ' na Wewe unajiona unastahili kuwepo?
au kuna vigezo tofauti mnatumiaKatika Watu wanaotakiwa Kushirikishwa katika Kufanya ' Decision Making ' au ' Voting ' na Wewe unajiona unastahili kuwepo?
NimeshawekaSi umeshapewa Cheo cha DGIS Mkuu? Tatizo liko wapi? Na hata Mimi nakubaliana kabisa kuwa hicho Cheo Kinakufaa hasa. britanicca kama itakufaa / kukupendeza tafadhali rejea katika ' Content ' ya Uzi wako na weka Cheo cha DGIS na Mtaje hapo Mkuu wetu huyu Baba Swalehe kwani kwa ' Ubobezi ' wake Cheo hicho Kinamstahili kabisa. Nitakushukuru.
au kuna vigezo tofauti mnatumia
Hicho cheo kinahusika na nini hviSi umeshapewa Cheo cha DGIS Mkuu? Tatizo liko wapi? Na hata Mimi nakubaliana kabisa kuwa hicho Cheo Kinakufaa hasa. britanicca kama itakufaa / kukupendeza tafadhali rejea katika ' Content ' ya Uzi wako na weka Cheo cha DGIS na Mtaje hapo Mkuu wetu huyu Baba Swalehe kwani kwa ' Ubobezi ' wake Cheo hicho Kinamstahili kabisa. Nitakushukuru.
Gentah kwa nn mkuuYou deserve it.
Nimeshaweka
Hicho cheo kinahusika na nini hvi
Nipo hapa ninayeshinda kwenye vitabu.
Gentah kwa nn mkuu
Mkuu wamekusahau nini ??? Mana siyo kwa kununa/kushangaa huko. Worry not kuna mtu atatumbuliwa na wewe utapata nafasi.
Asante mkuu japo cheo changu kimefichwa kama kawaida ya cheo chenyewe, lakini nitakitumikia vyema kama kinavyonitaka.Kingunge wa Taifa
Mkuu unatudhalilisha ambao hatupo kwenye ao wateule kuwa sisi ni mapopoma ndo IQ yako jukwaani hapa JF kuongea kitu kama ikoKigezo Kikuu ni Uwezo wa IQ ya Mhusika pindi awapo hapa Jamvini bila kusahau na ' Mvuto ' wake pia. Bahati mbaya najaribu Kuitafuta hiyo IQ yako katika Majukwaa mbalimbali hadi hivi sasa bado sijaiona. britanicca alitulia sana hadi umeona amekuja na hicho Kikosi ambacho Kimesheheni ' Mafundi ' na ' Manguli ' watupu wa ' Kifikra ' huku ' Mapopoma ' wakiwa hawana kabisa nafasi ndani yake.
Jamani J ๐ nitawezea wapi mie hizo mambo! Hapo atafit SweetieLee hata huyo ankali troublemaker hafai ๐๐Kama ndo tafsiri yake hata unaibu spika haunifai asee ๐๐๐
Kuna kina Depal SweetieLee au hata troublemaker angekuwa spika ๐๐
Dada mimi nakubishana is where and where ๐๐ sijui kubishana sijui kuandika comment ndefu kama za Karma au zako
Uzi toka kwa UVCCM tayari buku saba