Serikali Kuu ya JamiiForums

Serikali Kuu ya JamiiForums

Kwamba mimi hata uenyekiti wa kijiji sipo

Daah

Si umeshapewa Cheo cha DGIS Mkuu? Tatizo liko wapi? Na hata Mimi nakubaliana kabisa kuwa hicho Cheo Kinakufaa hasa. britanicca kama itakufaa / kukupendeza tafadhali rejea katika ' Content ' ya Uzi wako na weka Cheo cha DGIS na Mtaje hapo Mkuu wetu huyu Baba Swalehe kwani kwa ' Ubobezi ' wake Cheo hicho Kinamstahili kabisa. Nitakushukuru.
 
Nimeshaweka
 
au kuna vigezo tofauti mnatumia

Kigezo Kikuu ni Uwezo wa IQ ya Mhusika pindi awapo hapa Jamvini bila kusahau na ' Mvuto ' wake pia. Bahati mbaya najaribu Kuitafuta hiyo IQ yako katika Majukwaa mbalimbali hadi hivi sasa bado sijaiona. britanicca alitulia sana hadi umeona amekuja na hicho Kikosi ambacho Kimesheheni ' Mafundi ' na ' Manguli ' watupu wa ' Kifikra ' huku ' Mapopoma ' wakiwa hawana kabisa nafasi ndani yake.
 
Hicho cheo kinahusika na nini hvi
 
Nimeshaweka

Shukran sana na mno Mkuu. Huyo Jamaa Baba Swalehe namkubali sana na ni miongoni mwa ' Members ' ambao IQ zao ni za Kiwango cha juu japo ukiwa ' Popoma ' unaweza usiwe mwepesi Kumjua hasa kutokana na aina ya Uchangiaji na Uwasilishaji wake. Anachonikera ni Kimoja tu kwamba si mwana Nyundo na Jembe Mwenzangu na yupo kule ' Kesi Kesi Mahakamani Daima ' Camp Mkuu.
 
Kigezo Kikuu ni Uwezo wa IQ ya Mhusika pindi awapo hapa Jamvini bila kusahau na ' Mvuto ' wake pia. Bahati mbaya najaribu Kuitafuta hiyo IQ yako katika Majukwaa mbalimbali hadi hivi sasa bado sijaiona. britanicca alitulia sana hadi umeona amekuja na hicho Kikosi ambacho Kimesheheni ' Mafundi ' na ' Manguli ' watupu wa ' Kifikra ' huku ' Mapopoma ' wakiwa hawana kabisa nafasi ndani yake.
Mkuu unatudhalilisha ambao hatupo kwenye ao wateule kuwa sisi ni mapopoma ndo IQ yako jukwaani hapa JF kuongea kitu kama iko
 
😂 😂
Joanah mpenzi, I won't ever fit in there! Hiyo kweli mnaweza wewe na Karma, yeah' kidogo na mdogo wangu Depal, kubishana na wajumbe wana maneno kama wana app ya kamusi nitayaweza wapi??
Dada mimi nakubishana is where and where 😂🙆 sijui kubishana sijui kuandika comment ndefu kama za Karma au zako

Wajumbe wa kamati ya burudani na michezo uko at least nikiwa sambamba na Saint anne 🏃🏃
 
Back
Top Bottom