Serikali Kuu ya JamiiForums

Chief-Mkwawa, The Return of Undertaker lazima waingie
 
Kweli hutaki urais wa "US" !? Hii mpya Ha ha h aaaa!
Uzuri au ubaya nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu nipo tumboni mwa mama yangu.

Enzi hizo za Miss Wicken na Paul Sozigwa.

By the time niko darasa la nne nishakinai habari zao, nishampiga kibao mtoto wa rais kwa sababu aliniringishia sarafu yenye picha ya baba yake. Kumuonesha tu kwamba wote tuko sawa.

Habari za urais nishakinai zamani sana.
 


Safi sana!
 
Yap huyu ndiye Kiranga ninayemjua...atageuza maneno mpaka umuache aende zake.😂😂😂😂😂
 
Techonology hapo ni chief mkwawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…