wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Kama kawaida yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waacha wagawianeni vyeo lakin tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF
Rais - Mheshimiwa Kiranga
Makamu wa Rais- Shunie
Waziri Mkuu- Pascal Mayalla
Waziri Wa nchi ofisi ya Rais- GuDume
Waziri wa Mipango na Fedha - BAK
Waziri Wa mambo ya nje Nyani Ngabu
Waziri Wa mambo ya ndani britanicca
Waziri Wa Kilimo jmushi1
Waziri Wa sayansi na teknolojia barafu
Waziri Wa ujenzi Daudi Mchambuzi
Waziri Wa habari Papa Mobimba
Waziri Wa sanaa jinsia na watoto manengelo
Waziri Wa utamaduni Sky Eclat
Waziri wa ulinzi na usalama Wa Taifa GENTAMYCINE
Waziri wa afya Mshana Jr
Spika Wa Bunge joanah
Naibu spika Karma
CAG Mzigua90
CDF Atoto
IGP Sakayo
Jaji Mkuu peter e mselewa
Kambi rasmi ya Upinzani
Mkuu wake ni Kigogo2014
Msaidizi venchwa
Abinder seth Wa Taifa luambo makiadi
Au siyo
Mimi nipeni nafasi ya watu wasiojulikana
Hapo umepatia naunga hoja mguu kabisaSayansi na teknolojia CHIEF MKWAWA
Uzuri au ubaya nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu nipo tumboni mwa mama yangu.Kweli hutaki urais wa "US" !? Hii mpya Ha ha h aaaa!
Ila na wewe si wa mchezo mchezo...Upo hapa toka 2018 August lakini una post 20,000. Hongera sana hii speed ya hatari.
Uzuri au ubaya nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu nipo tumboni mwa mama yangu.
Enzi hizo za Miss Wicken na Paul Sozigwa.
By the time niko darasa la nne nishakinai habari zao, nishampiga kibao mtoto wa rais kwa sababu aliniringishia sarafu yenye picha ya baba yake. Kumuonesha tu kwamba wote tuko sawa.
Habari za urais nishakinai zamani sana.
Yap huyu ndiye Kiranga ninayemjua...atageuza maneno mpaka umuache aende zake.😂😂😂😂😂Uzuri au ubaya nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu nipo tumboni mwa mama yangu.
Enzi hizo za Miss Wicken na Paul Sozigwa.
By the time niko darasa la nne nishakinai habari zao, nishampiga kibao mtoto wa rais kwa sababu aliniringishia sarafu yenye picha ya baba yake. Kumuonesha tu kwamba wote tuko sawa.
Habari za urais nishakinai zamani sana.
Techonology hapo ni chief mkwawa...Waacha wagawianeni vyeo lakin tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF
Rais - Mheshimiwa Kiranga
Makamu wa Rais- Shunie
Waziri Mkuu- Pascal Mayalla
Waziri Wa nchi ofisi ya Rais- GuDume
Waziri wa Mipango na Fedha - BAK
Waziri Wa mambo ya nje Nyani Ngabu
Waziri Wa mambo ya ndani britanicca
Waziri Wa Kilimo jmushi1
Waziri Wa sayansi na teknolojia barafu
Waziri Wa ujenzi Daudi Mchambuzi
Waziri Wa habari Papa Mobimba
Waziri Wa sanaa jinsia na watoto manengelo
Waziri Wa utamaduni Sky Eclat
Waziri wa ulinzi na usalama Wa Taifa GENTAMYCINE
Waziri wa afya Mshana Jr
Spika Wa Bunge joanah
Naibu spika Karma
CAG Mzigua90
CDF Atoto
IGP Sakayo
Jaji Mkuu peter e mselewa
Kambi rasmi ya Upinzani
Mkuu wake ni Kigogo2014
Msaidizi venchwa
Abinder seth Wa Taifa luambo makiadi
Au siyo
Mkuu usijali, sisi tutakuwa wazee wa KUPINGA KILA KITU.Dah kwa hiyo mimi ni mwananchi tu, dah
Kwenye hzo vurugu nitakuwa navamia bar tuuHuu nao ni udikteta kutuchagulia viongozi kibabe bila kupiga kura.
Napinga hili, rasmi nitakuwa muasi.
Hhaahahahaha!...mie ofisini ntakuwa na kastock ka wine🤒!Kwenye hzo vurugu nitakuwa navamia bar tuu