Serikali Kuu ya JamiiForums

Wale wananchi ambao hatupigi kura huwa tunashinda vilabuni kwenye draft ,pooltable ,kwenye vibarua vyetu ,kwenye shughuli zetu ,mizunguko ya hapa na pale tujuane hapa


Ombi kwa mh waziri wa ujenzi aiboreshe barabara ya kuelekea jukwaa la MMU
nahunga hoja
 
Waziri wa sayansi na teknolojia napinga apewe Chief Mkwawa
 
Nimekupa urais kwa kufuata kodi zangu nazojua , kipindi tumeenda SA kwenye Comettee fulani niliwachekesha sana when I said I want to die 17, Mkapa akavua miwani, sisimulii sana naishia hapa
 

Halafu hii hali ya hewa imenifanya nipate tumafua twa hapa na pale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hebu nichukue tubilioni tunne nikajitibu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…