Serikali Kuu ya JamiiForums

Serikali Kuu ya JamiiForums

Wale wananchi ambao hatupigi kura huwa tunashinda vilabuni kwenye draft ,pooltable ,kwenye vibarua vyetu ,kwenye shughuli zetu ,mizunguko ya hapa na pale tujuane hapa


Ombi kwa mh waziri wa ujenzi aiboreshe barabara ya kuelekea jukwaa la MMU
nahunga hoja
 
Waacha wagawianeni vyeo lakin tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF

Rais - Mheshimiwa Kiranga
Makamu wa Rais- Shunie
Waziri Mkuu- Pascal Mayalla

Waziri Wa nchi ofisi ya Rais- GuDume

Waziri wa Mipango na Fedha - BAK
Waziri Wa mambo ya nje Nyani Ngabu
Waziri Wa mambo ya ndani britanicca
Waziri Wa Kilimo jmushi1
Waziri Wa sayansi na teknolojia barafu

Waziri Wa ujenzi Daudi Mchambuzi

Waziri Wa habari Papa Mobimba

Waziri Wa sanaa jinsia na watoto manengelo

Waziri Wa utamaduni Sky Eclat

Waziri wa ulinzi na usalama Wa Taifa GENTAMYCINE
Waziri wa afya Mshana Jr
Spika Wa Bunge joanah

Naibu spika Karma

CAG Mzigua90

CDF Atoto

IGP Sakayo


Jaji Mkuu peter e mselewa

Kambi rasmi ya Upinzani
Mkuu wake ni Kigogo2014

Msaidizi venchwa

Abinder seth Wa Taifa luambo makiadi

Au siyo
Waziri wa sayansi na teknolojia napinga apewe Chief Mkwawa
 
Uzuri au ubaya nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu nipo tumboni mwa mama yangu.

Enzi hizo za Miss Wicken na Paul Sozigwa.

By the time niko darasa la nne nishakinai habari zao, nishampiga kibao mtoto wa rais kwa sababu aliniringishia sarafu yenye picha ya baba yake. Kumuonesha tu kwamba wote tuko sawa.

Habari za urais nishakinai zamani sana.
Nimekupa urais kwa kufuata kodi zangu nazojua , kipindi tumeenda SA kwenye Comettee fulani niliwachekesha sana when I said I want to die 17, Mkapa akavua miwani, sisimulii sana naishia hapa
 
Mheshimiwa spikeeeeeeeer...! Tunakuomba uende ukatibiwe nje hata mafua tu,uambatane na jopo la wasaidizi wako. Check up yako itagharimu tubilioni tuchache. Achilia mbali wapige kelele zao tu wanoko wa nchi hii ya JF,we nenda tu kachekiwe. Gharama zote zitagharimiwa na serikali yako tukufu ya nchi hii ya Jf

Halafu hii hali ya hewa imenifanya nipate tumafua twa hapa na pale 😂😂😂😂

Hebu nichukue tubilioni tunne nikajitibu 😂😂
 
Back
Top Bottom