Serikali Kuu ya JamiiForums

Mshana labda awe waziri wa michezo na utamaduni
 
Wale wananchi ambao hatupigi kura huwa tunashinda vilabuni kwenye draft ,pooltable ,kwenye vibarua vyetu ,kwenye shughuli zetu ,mizunguko ya hapa na pale tujuane hapa


Ombi kwa mh waziri wa ujenzi aiboreshe barabara ya kuelekea jukwaa la MMU
Katika ubora wako hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…