crusader_jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 994
- 851
Mkuu shukrani kwa masahihisho ila nlikomenti tu kwa wasiwasi ndo maana ila usiwazeKukosa Umakini wenu hata katika Kukijua vyema Kiswahili ndiyo maana hata mnasahaulika katika Kutajwa na Kupewa Vyeo hapa Jamvini. Hivi katika Lugha adhimu ya Kiswahili tuna neno la ' nahunga hoja ' kama uliloliandika hapa au tuna neno sahihi na sanifu kabisa la ' naunga mkono hoja ' ambalo hata BAKITA wanalitambua?
JF ina watu wakarimu sana wenye upendo na maarifa mengi, wabobezi wa masuala mbalimbali wote wanapatikana humu, ni busara sana kuwa msikilizaji zaidi kuliko kuwa muongeaji bali pale inapobidi na hasa 'unapoguswa' kwenye eneo ambalo uko vizuri nalo, u-much know nao sio mzuri sana!
Mkuu shukrani kwa masahihisho ila nlikomenti tu kwa wasiwasi ndo maana ila usiwaze
To whoever it may concern. It can you or anyone outcheaSalamu zako hizi unazielekeza kwa nani labda?
To whoever it may concern. It can you or anyone outchea
Nimekumbukwa kwa Id yangu nyingine. Kuna tatizo ?Katika Kikosi cha britanicca cha Serikali yake ya JamiiForums umekumbukwa Mkuu? Naomba tuanzie hapa Kwanza tafadhali.
Nimekumbukwa kwa Id yangu nyingine. Kuna tatizo ?
Wajumbe wa nyumba kumi tumesahaulika.
Mwanaharakati huru- N'yadikwa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] eti kuumia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ungekumbukwa kwa hiyo ID yako nyingine Kuu usingeonyesha Kuumia kiasi hiki Mkuu. Kawadanganye wengine na siyo Mimi.
Ukweli mchungu.Kwani nyie huwa mna Thamani yoyote ile katika Serikali Kuu Mkuu?
Mkuu shukrani kwa masahihisho ila nlikomenti tu kwa wasiwasi ndo maana ila usiwazeKukosa Umakini wenu hata katika Kukijua vyema Kiswahili ndiyo maana hata mnasahaulika katika Kutajwa na Kupewa Vyeo hapa Jamvini. Hivi katika Lugha adhimu ya Kiswahili tuna neno la ' nahunga hoja ' kama uliloliandika hapa au tuna neno sahihi na sanifu kabisa la ' naunga mkono hoja ' ambalo hata BAKITA wanalitambua?
Mkuu shukrani kwa masahihisho ila nlikomenti tu kwa wasiwasi ndo maana ila usiwaze
Shida ni kuwa hatujashirikishwa tukapiga kuraUlikomenti kwa wasiwasi kwani kuna Tishio lolote labda ulilolipata kutoka kwa wana JamiiForums? Jifunze Kujiamini tafadhali.
Shida ni kuwa hatujashirikishwa tukapiga kura