Serikali Kuu ya JamiiForums

Serikali Kuu ya JamiiForums

Kukosa Umakini wenu hata katika Kukijua vyema Kiswahili ndiyo maana hata mnasahaulika katika Kutajwa na Kupewa Vyeo hapa Jamvini. Hivi katika Lugha adhimu ya Kiswahili tuna neno la ' nahunga hoja ' kama uliloliandika hapa au tuna neno sahihi na sanifu kabisa la ' naunga mkono hoja ' ambalo hata BAKITA wanalitambua?
Mkuu shukrani kwa masahihisho ila nlikomenti tu kwa wasiwasi ndo maana ila usiwaze
 
JF ina watu wakarimu sana wenye upendo na maarifa mengi, wabobezi wa masuala mbalimbali wote wanapatikana humu, ni busara sana kuwa msikilizaji zaidi kuliko kuwa muongeaji bali pale inapobidi na hasa 'unapoguswa' kwenye eneo ambalo uko vizuri nalo, u-much know nao sio mzuri sana!

Salamu zako hizi unazielekeza kwa nani labda?
 
Ungekumbukwa kwa hiyo ID yako nyingine Kuu usingeonyesha Kuumia kiasi hiki Mkuu. Kawadanganye wengine na siyo Mimi.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] eti kuumia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
sawa mzee wa shadow government
 
Kukosa Umakini wenu hata katika Kukijua vyema Kiswahili ndiyo maana hata mnasahaulika katika Kutajwa na Kupewa Vyeo hapa Jamvini. Hivi katika Lugha adhimu ya Kiswahili tuna neno la ' nahunga hoja ' kama uliloliandika hapa au tuna neno sahihi na sanifu kabisa la ' naunga mkono hoja ' ambalo hata BAKITA wanalitambua?
Mkuu shukrani kwa masahihisho ila nlikomenti tu kwa wasiwasi ndo maana ila usiwaze
 
Mkuu shukrani kwa masahihisho ila nlikomenti tu kwa wasiwasi ndo maana ila usiwaze

Ulikomenti kwa wasiwasi kwani kuna Tishio lolote labda ulilolipata kutoka kwa wana JamiiForums? Jifunze Kujiamini tafadhali.
 
Back
Top Bottom