crusader_jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 994
- 851
Mkuu shukrani kwa masahihisho ila nlikomenti tu kwa wasiwasi ndo maana ila usiwazeKukosa Umakini wenu hata katika Kukijua vyema Kiswahili ndiyo maana hata mnasahaulika katika Kutajwa na Kupewa Vyeo hapa Jamvini. Hivi katika Lugha adhimu ya Kiswahili tuna neno la ' nahunga hoja ' kama uliloliandika hapa au tuna neno sahihi na sanifu kabisa la ' naunga mkono hoja ' ambalo hata BAKITA wanalitambua?