johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Funguka bwashee!Achana na hayo, Malawi imetuonesho njia lakini JFof GT inaficha tusijue. Chicken broilers raised in Tanzania.
Kama wana katiba bora BBI ya nini tena?!Sonko alijisahau sana akazani Uhuru ataendelea kuwa mshikaji wake kwenye ufisadi wakati sasaivi Uhuru anamsikiliza sana Raila kwenye maswala yanayuhusu ufisadi.
Pia sonko inasemekana ni team Ruto ambaye atakiwi na system ya utawala wa kenya kuirudisha nchi kwenye udicteta.
Pia tuwapongeze Kenya kwa kuwa na katiba iliyo bora. Mahakama bunge viko huru kufanya kazi kwa matakwa ya wananchi.
Ruto ni dictator wakenya wanajitambua hawawezi tawaliwa na dictator,hata Moi na udikteta wake asingeweza tawala Kenya ya sasaSonko alijisahau sana akazani Uhuru ataendelea kuwa mshikaji wake kwenye ufisadi wakati sasaivi Uhuru anamsikiliza sana Raila kwenye maswala yanayuhusu ufisadi.
Pia sonko inasemekana ni team Ruto ambaye atakiwi na system ya utawala wa kenya kuirudisha nchi kwenye udicteta.
Pia tuwapongeze Kenya kwa kuwa na katiba iliyo bora. Mahakama bunge viko huru kufanya kazi kwa matakwa ya wananchi.
Ruto ni dikteta kivipi?!Ruto ni dictator wakenya wanajitambua hawawezi tawaliwa na dictator,hata moi na udikteta wake asingeweza tawala Kenya ya sasa
Hulka ya mtu ndivo atakavokuwaRuto ni dikteta kivipi?!
Wewe umemjua lini na akiwa nani?
Wapi nimezungumzia madawa ya kulevya bwashee?!Kwahiyo mwita anauza madawa ya kulevya kama sonko? Unafananisha mlima na kichuguu
Mi siyo bwashe wakoWapi nimezungumzia madawa ya kulevya bwashee?!
Basi wewe ni mangi!Mi siyo bwashe wako
Wanazidi kuiboresha kama sisi tunavyokataa katiba mpyaKama wana katiba bora BBI ya nini tena?!
So katiba mpya ya Kenya ina mapungufu mengi basi!
Jibu swali kwa hoja sio umbea wa vijiweni.
Sawa bibie nmekuskiaJibu swali kwa hoja sio umbea wa vijiweni.