Serikali kuu ya Kenya yamnyang'anya Sonko jiji la Nairobi je jiji la DSM tunajifunza nini kufuatia sakata la Meya Mwita?

Serikali kuu ya Kenya yamnyang'anya Sonko jiji la Nairobi je jiji la DSM tunajifunza nini kufuatia sakata la Meya Mwita?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Jiji la Nairobi limekumbwa na ufisadi uliotukuka hali iliyopelekea Gavana wa jiji hilo kuzuiwa kuingia ofisini na taasisi ya kupambana na rushwa nchini humo.

Leo serikali kuu ya Kenya imetwaa uendeshaji wa jiji hilo ikiwemo usimamizi wa utoaji Huduma zote za kijamii ikiwemo elimu, afya, maji, umeme nk na kodi zote za jiji sasa zitakusanywa na Mamlaka ya mapato yaani KRA.

Hati za makabidhiano walisaini Gavana Sonko na waziri Wamalwa na kushuhudiwa na Rais wa Kenya mh Uhuru Kenyata.

Source Citizen tv

My take; Kumbe zile sarakasi za meya Isaya Mwita na madiwani wa chama tawala zingeweza kumalizwa kwa utaratibu murua kama huu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Achana na hayo, Malawi imetuonesho njia lakini JFof GT inaficha tusijue. Chicken broilers raised in Tanzania.
 
Sonko alijisahau sana akadhani Uhuru ataendelea kuwa mshikaji wake kwenye ufisadi wakati sasa hivi Uhuru anamsikiliza sana Raila kwenye masuala yanayuhusu ufisadi.

Pia Sonko inasemekana ni team Ruto ambaye hatakiwi na system ya utawala wa Kenya kuirudisha nchi kwenye udikteta.

Pia tuwapongeze Kenya kwa kuwa na katiba iliyo bora. Mahakama bunge viko huru kufanya kazi kwa matakwa ya wananchi.
 
Sonko alijisahau sana akazani Uhuru ataendelea kuwa mshikaji wake kwenye ufisadi wakati sasaivi Uhuru anamsikiliza sana Raila kwenye maswala yanayuhusu ufisadi.

Pia sonko inasemekana ni team Ruto ambaye atakiwi na system ya utawala wa kenya kuirudisha nchi kwenye udicteta.

Pia tuwapongeze Kenya kwa kuwa na katiba iliyo bora. Mahakama bunge viko huru kufanya kazi kwa matakwa ya wananchi.
Kama wana katiba bora BBI ya nini tena?!
 
Sonko alijisahau sana akazani Uhuru ataendelea kuwa mshikaji wake kwenye ufisadi wakati sasaivi Uhuru anamsikiliza sana Raila kwenye maswala yanayuhusu ufisadi.

Pia sonko inasemekana ni team Ruto ambaye atakiwi na system ya utawala wa kenya kuirudisha nchi kwenye udicteta.

Pia tuwapongeze Kenya kwa kuwa na katiba iliyo bora. Mahakama bunge viko huru kufanya kazi kwa matakwa ya wananchi.
Ruto ni dictator wakenya wanajitambua hawawezi tawaliwa na dictator,hata Moi na udikteta wake asingeweza tawala Kenya ya sasa
 
Back
Top Bottom