johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jiji la Nairobi limekumbwa na ufisadi uliotukuka hali iliyopelekea Gavana wa jiji hilo kuzuiwa kuingia ofisini na taasisi ya kupambana na rushwa nchini humo.
Leo serikali kuu ya Kenya imetwaa uendeshaji wa jiji hilo ikiwemo usimamizi wa utoaji Huduma zote za kijamii ikiwemo elimu, afya, maji, umeme nk na kodi zote za jiji sasa zitakusanywa na Mamlaka ya mapato yaani KRA.
Hati za makabidhiano walisaini Gavana Sonko na waziri Wamalwa na kushuhudiwa na Rais wa Kenya mh Uhuru Kenyata.
Source Citizen tv
My take; Kumbe zile sarakasi za meya Isaya Mwita na madiwani wa chama tawala zingeweza kumalizwa kwa utaratibu murua kama huu.
Maendeleo hayana vyama!