mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,155
- 2,704
Habari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao watalipwa Kidogo Kidogo sio madai yote.
Hizi zimetoka ndani ama unaweza sema za ndaniiii kabisa kwa mtu anae bonyeza kidude cha Pay au Not Pay
Hizi zimetoka ndani ama unaweza sema za ndaniiii kabisa kwa mtu anae bonyeza kidude cha Pay au Not Pay