UNAKUTA MTU HAJUI HATA MAPATO NA MATUMIZI YA SIMU YAKE TU..
HAJUI HATA MAPATO NA MATUMIZI YA MKE WAKE AU MME WAKE..
akifika sasa jf, unasikia za ndaniiii...pay na not pay
Kwani situnasema hatuwataki mabeberu,wala chochote kutoka kwao,sasa vilio vya nini,huu ni mwanzo tunayo mahitaji muhimu ambayo tunawahitaji mabeberu hao hao.Habari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao watalipwa Kidogo Kidogo sio madai yote.
Hizi zimetoka ndani ama unaweza sema za ndaniiii kabisa kwa mtu anae bonyeza kidude cha Pay au Not Pay
Wewe jua za nje tu kwani hata za ndani hazikusaidii wala chawa wako ama chawa wao.mm nikishajua za Ndani najua ni story za vijiweni tu.
Laana ya kuuwa vijana wasio kuwa na hatia tarehe 29th October 2025. Amelaaniwa MamaSamia2025 Lucas MwashambwaHabari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao watalipwa Kidogo Kidogo sio madai yote.
Hizi zimetoka ndani ama unaweza sema za ndaniiii kabisa kwa mtu anae bonyeza kidude cha Pay au Not Pay
Habari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao watalipwa Kidogo Kidogo sio madai yote.
Hizi zimetoka ndani ama unaweza sema za ndaniiii kabisa kwa mtu anae bonyeza kidude cha Pay au Not Pay
Na jana umeme umekatika jua kuna hasara kwenye biashara nyingi zinazotegemea umeme nafuuHabari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao watalipwa Kidogo Kidogo sio madai yote.
Hizi zimetoka ndani ama unaweza sema za ndaniiii kabisa kwa mtu anae bonyeza kidude cha Pay au Not Pay
Fanya na wewe uhuni hiyo 7/7 ukaungane na wahalifu wa 29/10 huko ahera.Laana ya kuuwa vijana wasio kuwa na hatia tarehe 29th October 2025. Amelaaniwa MamaSamia2025 Lucas Mwashambwa
Wabunge wanalipwa kwa kazi gani hao matakoHabari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao watalipwa Kidogo Kidogo sio madai yote.
Hizi zimetoka ndani ama unaweza sema za ndaniiii kabisa kwa mtu anae bonyeza kidude cha Pay au Not Pay
Hii iko wazi mambo sio mambo ukijitusu kuchukua mradi wa serikali imekula kwako malipo utasubiri sana kwenye foleni na hata yakija kiduchu wanalipa.Habari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao watalipwa Kidogo Kidogo sio madai yote.
Hizi zimetoka ndani ama unaweza sema za ndaniiii kabisa kwa mtu anae bonyeza kidude cha Pay au Not Pay