mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauwezi kamilika 2020Mnasema kweli. Miradi ya HEP huwa siyo ya kitoto kwani inahusisha engineering ya hali ya juu. Nikiangalia Grand Renaissance ya Ethiopia ilivyochukua miaka mingi, ni ngumu kuona Stiegler's Gorge ikikamilika mwaka 2020.
Muhimu tuna-recommend jitihada kubwa ya Serikali kuwa, inataka kuujenga Mradi huo. Mambo ya lini utakamilika kwangu mimi siyo ishu at all.
Ni habari mbaya kwa wadau wote wa mazingira, wenye shauku ya kuona mazingira tuliyoyarithi yatarithiwa pia na watoto wa watoto wetu...Habari mbaya sana hii kwa chadema