Serikali kuzima Mitambo yote ya TANESCO inayotumia mafuta mazito kufikia mwaka 2020: Ni baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge

Hauwezi kamilika 2020

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mbaya sana hii kwa chadema
Ni habari mbaya kwa wadau wote wa mazingira, wenye shauku ya kuona mazingira tuliyoyarithi yatarithiwa pia na watoto wa watoto wetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…