Serikali kwa sasa Tafadhali Sana msiangaike kukamata Mtu yoyote kusema Sijui alichochea Maandamano mtakua Mnacheza na Moto

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Ushauri wangu kwa Serikali kaa jitafakari acheni kuangaika na watu mmeshajikwaa huu ni mda wakuleta wananchi wote pamoja. Kama ni makosa yamefanyika pande zote mbili serikali kupuuza madai ya wananchi. Maana maandamano yanatambulika kikatiba.

Waandamaji walitumia haki yao kikatiba baada ya kupuuza madai hamkuawahi kuwaita kukaa nao zaidi ya vitisho Watu wamepoteza wapendwa wao mimi binafsi Shangazi yangu kapoteza watoto wake wawili mmoja alitoka kupiga kura mwingine alitoka buchani kununua nyama watu bado wameugulia maumivu.

Kitendo cha kusema sijui muangaike kukamata watu sijui waliochochea maadamno wakati Uzembe ni wenu kwa kiburi mlichokuanacho. Kukamata watu kwa kusema walichochea maadamno wakati watu hawajapoa wana uzuni mtakua Mnacheza na Moto tena mkali sana hapa hata Mgunda hatasikilizwa watu wanamachungu na nyie sana

Nilikua nawashauri serikali vijana wote waliokamatwa kwenye maadamno wako hai waachieni waende kuungana na familia zao bila masharti yoyote. Lakini mkijaribu kwa sasa kufanya jambo Lolote la kuchukua hisia za Wananchi kipindi hiki na wananchi kuchukuia mtakua Mnacheza na Moto ni kama vile wanasubiri tena mjichanganye tena mcheze na hisia zao au kukamatwa wapendwa wao basi hapo ndo mtakua mmemwaga petrol kwenye Moto Sasa hivi serikali kueni makini na maamuzi yenu nikama nyie ndo mnatafutwa mjichanganye tena kwa sasa kueni makini na kila maamuzi mnayofanya hisia za watu sasa sio za kucheza nazo kipindi kama hiki ni kucheza na Moto Next time wanaweza wasimsikilize tena huyo Mgunda kujua kwamba anatumika ikawa baya sana kueni makini sana kwa sasa
 
Unataka kuwatishia polisi wasikamate wahalifu?kama ulificha mamluki jiandae vizuri kuwajibika.
Nyie ndo mnapotosha Rais Lissu kawekwa ndani Je Rais kapata faida gani sasa zaidi ya chuki nawashauri msicheze na Moto kitawaka hata Mgunda hatasikilizwa jaribu kuwakamata mara nyingi tunashauri hapa JF mnatuona kama wehu
 
Ushauri wangu kwa Serikali kaa jitafakari acheni kuangaika na watu mmeshajikwaa huu ni mda wakuleta wananchi wote pamoja. Kama ni makosa yamefanyika pande zote mbili serikali kupuuza madai ya wananchi. Maana maandamano yanatambulika kikatiba.

Waandamaji walitumia haki yao kikatiba baada ya kupuuza madai hamkuawahi kuwaita kukaa nao zaidi ya vitisho Watu wamepoteza wapendwa wao mimi binafsi Shangazi yangu kapoteza watoto wake wawili mmoja alitoka kupiga kura mwingine alitoka buchani kununua nyama watu bado wameugulia maumivu.

Kitendo cha kusema sijui muangaike kukamata watu sijui waliochochea maadamno wakati Uzembe ni wenu kwa kiburi mlichokuanacho. Kukamata watu kwa kusema walichochea maadamno wakati watu hawajapoa wana uzuni mtakua Mnacheza na Moto tena mkali sana hapa hata Mgunda hatasikilizwa watu wanamachungu na nyie sana

Nilikua nawashauri serikali vijana wote waliokamatwa kwenye maadamno wako hai waachieni waende kuungana na familia zao bila masharti yoyote. Lakini mkijaribu kwa sasa kufanya jambo Lolote la kuchukua hisia za Wananchi kipindi hiki na wananchi kuchukuia mtakua Mnacheza na Moto ni kama vile wanasubiri tena mjichanganye tena mcheze na hisia zao au kukamatwa wapendwa wao basi hapo ndo mtakua mmemwaga petrol kwenye Moto
Viziwi na vipofu hawasikii wala kuona kama ilivyo tabia ya kenge,hahi atakapo hisi ubongo umetoka nje ya fuvu sitarajii kusikika wala kuonekana ushauri wako!
 
Hakuna jeshi duniani lililowahi kushinda nguvu ya wananchi ushauri mzuri sana
Tunapenda bado nchi yetu ndo maana tunatoa ushauri sasa wanataka kujichanganya kuingia kwenye mtego wakicheza na hisia za watanzania tena watashangazwa itakua sio Gen Z tena bali wananchi wote waliochoka na waliopoteza wapendwa wao wasichezi na moto Serikali inatakiwa kua makini maamuzi yake kwa sasa kuliko wakati wote
 
Mkuu wa mkoa wa mwanza akasema eti wanaorodha za boda boda namba zao za simu na hadi plate namba zao wanazijua,kwamba watadili nao wote

Niliwahurumia hao vijana watakavyoteseka
 
Nchi ishaingia kirusi hii, we waache waendelee.

Mwanzo si walidhani lile chama chenu ndiyo kina ratibu?.
 
Ushauri wangu kwa Serikali kaa jitafakari acheni kuangaika na watu mmeshajikwaa huu ni mda wakuleta wananchi wote pamoja. Kama ni makosa yamefanyika pande zote mbili serikali kupuuza madai ya wananchi. Maana maandamano yanatambulika kikatiba.

Waandamaji walitumia haki yao kikatiba baada ya kupuuza madai hamkuawahi kuwaita kukaa nao zaidi ya vitisho Watu wamepoteza wapendwa wao mimi binafsi Shangazi yangu kapoteza watoto wake wawili mmoja alitoka kupiga kura mwingine alitoka buchani kununua nyama watu bado wameugulia maumivu.

Kitendo cha kusema sijui muangaike kukamata watu sijui waliochochea maadamno wakati Uzembe ni wenu kwa kiburi mlichokuanacho. Kukamata watu kwa kusema walichochea maadamno wakati watu hawajapoa wana uzuni mtakua Mnacheza na Moto tena mkali sana hapa hata Mgunda hatasikilizwa watu wanamachungu na nyie sana

Nilikua nawashauri serikali vijana wote waliokamatwa kwenye maadamno wako hai waachieni waende kuungana na familia zao bila masharti yoyote. Lakini mkijaribu kwa sasa kufanya jambo Lolote la kuchukua hisia za Wananchi kipindi hiki na wananchi kuchukuia mtakua Mnacheza na Moto ni kama vile wanasubiri tena mjichanganye tena mcheze na hisia zao au kukamatwa wapendwa wao basi hapo ndo mtakua mmemwaga petrol kwenye Moto Sasa hivi serikali kueni makini na maamuzi yenu nikama nyie ndo mnatafutwa mjichanganye tena kwa sasa kueni makini na kila maamuzi mnayofanya hisia za watu sasa sio za kucheza nazo kipindi kama hiki ni kucheza na Moto Next time wanaweza wasimsikilize tena huyo Mgunda kujua kwamba anatumika ikawa baya sana kueni makini sana kwa sasa
Hilo haliwezi kuisha kwani kufanya hivyo ama ni kujipatia kipato cha ziada ama kujinyima kipato cha ziada,hivyo ni jambo la ama kupanga,ama kuchagua ama kuamua!Hivyo hapa ni kipimo ama cha Uzalendo!Utu,uachawa ama vinginevyo.Tanzania yetu sote na sii ya chawa wala ya wafuja keki ya taifa ila ya Watanzania walalahoi na watanzania wote
 
Ushauri wangu kwa Serikali kaa jitafakari acheni kuangaika na watu mmeshajikwaa huu ni mda wakuleta wananchi wote pamoja. Kama ni makosa yamefanyika pande zote mbili serikali kupuuza madai ya wananchi. Maana maandamano yanatambulika kikatiba.

Waandamaji walitumia haki yao kikatiba baada ya kupuuza madai hamkuawahi kuwaita kukaa nao zaidi ya vitisho Watu wamepoteza wapendwa wao mimi binafsi Shangazi yangu kapoteza watoto wake wawili mmoja alitoka kupiga kura mwingine alitoka buchani kununua nyama watu bado wameugulia maumivu.

Kitendo cha kusema sijui muangaike kukamata watu sijui waliochochea maadamno wakati Uzembe ni wenu kwa kiburi mlichokuanacho. Kukamata watu kwa kusema walichochea maadamno wakati watu hawajapoa wana uzuni mtakua Mnacheza na Moto tena mkali sana hapa hata Mgunda hatasikilizwa watu wanamachungu na nyie sana

Nilikua nawashauri serikali vijana wote waliokamatwa kwenye maadamno wako hai waachieni waende kuungana na familia zao bila masharti yoyote. Lakini mkijaribu kwa sasa kufanya jambo Lolote la kuchukua hisia za Wananchi kipindi hiki na wananchi kuchukuia mtakua Mnacheza na Moto ni kama vile wanasubiri tena mjichanganye tena mcheze na hisia zao au kukamatwa wapendwa wao basi hapo ndo mtakua mmemwaga petrol kwenye Moto Sasa hivi serikali kueni makini na maamuzi yenu nikama nyie ndo mnatafutwa mjichanganye tena kwa sasa kueni makini na kila maamuzi mnayofanya hisia za watu sasa sio za kucheza nazo kipindi kama hiki ni kucheza na Moto Next time wanaweza wasimsikilize tena huyo Mgunda kujua kwamba anatumika ikawa baya sana kueni makini sana kwa sasa
Tanzania ni Dola siyo serikali, Serikali ni sehemu ya Dola, Dola yoyote inayojitambua huwa haibabaishwi na genge la Wahalifu. Kwahiyo kama kuna Mhalifu vyombo vya dola vitashughulika nae bila kuuliza mara mbili. Hatuwezi kuwa na nchi kila mtu afanye anavyokisikia.
 
Eti eeh! Siyo kitambo tutaimba lugha moja
 
Tanzania ni Dola siyo serikali, Serikali ni sehemu ya Dola, Dola yoyote inayojitambua huwa haibabaishwi na genge la Wahalifu. Kwahiyo kama kuna Mhalifu vyombo vya dola vitashughulika nae bila kuuliza mara mbili. Hatuwezi kuwa na nchi kila mtu afanye anavyokisikia.
Nitajie nchi yoyote ambayo dola imewahi kushinda Nguvu ya Umma umeamua Gen Z tu imewatoa jasho sembuse Umma acheni Ayo mambo
 
Usiwatafutie jina zuri, hao walikuwa Wahalifu. Hakuna Gen Z Kibaka.

Back
Top Bottom