Hakuna atakayeteseka ila watateseka wao. Kuanzia 29/10 kila kitu wanatakiwa waende nacho kwa akili lasivyo wao ndio watateseka.Mkuu wa mkoa wa mwanza akasema eti wanaorodha za boda boda namba zao za simu na hadi plate namba zao wanazijua,kwamba watadili nao wote
Niliwahurumia hao vijana watakavyoteseka
Hawataki kukubali wali kuangalia ni wapi walikosea au kujikwaa, ni Mwendo wa kubambikiana na kutafuta wa kumwangushia lawamaMkuu wa mkoa wa mwanza akasema eti wanaorodha za boda boda namba zao za simu na hadi plate namba zao wanazijua,kwamba watadili nao wote
Niliwahurumia hao vijana watakavyoteseka
Lini polisi imeshika mafisadi na majizi waliotajwa kwenye ufisadi jinga lao?Unataka kuwatishia polisi wasikamate wahalifu?kama ulificha mamluki jiandae vizuri kuwajibika.
bakizeni manenoTanzania ni Dola siyo serikali, Serikali ni sehemu ya Dola, Dola yoyote inayojitambua huwa haibabaishwi na genge la Wahalifu. Kwahiyo kama kuna Mhalifu vyombo vya dola vitashughulika nae bila kuuliza mara mbili. Hatuwezi kuwa na nchi kila mtu afanye anavyokisikia.