Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Duh...!Maendeleo mazuri!
hongera kwa kuwa mhenga sisi juniors tujuaneAisee, umenikumbusha mbali. Umekisoma kitabu cha Alice ? Basi mimi nimekisoma nikiwa darasa la nne mwaka 1985, swahili version. Kinavutia balaa.
What is your point then?si mlisema wamebaki 3 nyie?
hiyo moja.
pili..... ina maana kumbe korona haijaisha kama mlivyodai na badala yake sasa imeshika kasi!
Those were Dar es salaam dwellers!Duh...!
Kutoka 4 hadi 66 kweli ni maendeleo mazuri sana.
Vya wahenga vizuri mkuu.Tafuta hicho kitabu ukisome ujue wahenga tulivyofaidi. Nikiwa mtoto wa level ya darasa la nne, kilinipa uelewa wa mambo mengi sana hadi walimu walinishangaa kwa maswali niliyokuwa nawauliza.hongera kwa kuwa mhenga sisi juniors tujuane