Serikali: Kwa sasa Tanzania ina wagonjwa 66 wa Corona nchi nzima ndani ya mikoa 10 na mikoa 16 haina wagonjwa

Kwa hiyo wameongezeka kutoka wagonjwa 4 hadi wagonjwa 66 ndani ya wiki moja?

Kweli wanasiasa ni waongo!
Weee wamesema wamepungua, sasa jiulize wamepunguaje
 
Nadhani mbeya corona imeshika kasi na hii baridi kila siku misiba inaongozana balaa, kuna jirani yupo hoi hospital leo ndo nasikia ana corona
 
Nachoshukuru Tyari nmeshapata immunity mimi na familia yangu. Wote tuliugua corona na tukapona i thinki ikitaka kurudi ije imevaa mabuti
 
Shetani Corona kabla ya kukuua kwanza linatuma vijana wake wapekeleze account yako benki inasomaje..
 
Aisee. Ngoja kesho nimskilize mwenyewe aliyesema wamebakia wanne tu na wote wako DSM.

Nchi hii ukiwa serious sana unaweza kuchanganyikiwa
 
Wametokea wapi na tulikuwa nao wanne tu?
Kwani wanaoumwa Malaria wapo wangapi, na waliokufa? Tuache Propaganda za kutuogopesha Covid-19 ipo lakini siyo hatari kama tulivyokuwa tunaogopeshwa. Niogonjwa unaondolewa kwa Social distance, kupiga nyungu, kufuata ushauri wa Wataalam wa Afya.
 
Wagonjwa wapo wanne nchi nzima? Mara wagonjwa wapo 66 nchi nzima? Hiyo inaitwa 1&2 movie! Mtoa tamko na mkana tamko
 
Wanyamaze kimia corona iliisha watu tuliishaselebuka kwa kwenda mbele.
 
Kwa hiyo wameongezeka kutoka wagonjwa 4 hadi wagonjwa 66 ndani ya wiki moja?

Kweli wanasiasa ni waongo!
Siyo waongo tu ni wachawi na wanga.
Tanzania hatuna viongozi wasomi, bali tunaona waganga wa kienyeji na wachawi
 
ifikie hatua serikali ikae KIMYA kuhusu corona.
Kama tumeamua kuishi nayo tuishi nayo.
Haya matamko huyu kasema wapo 4 mwingine kasema wapo 66 ni wazi MNATUDANGANYA.
kama mmeamua kuipotezea ipotezeeni mazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…