Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Nyinyi ndio wale ambao bwege amewazungumzia" ukiulizwa umekula, ndio" una njaa, ndio"Maendeleo mazuri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi ndio wale ambao bwege amewazungumzia" ukiulizwa umekula, ndio" una njaa, ndio"Maendeleo mazuri!
Weee wamesema wamepungua, sasa jiulize wamepunguajeKwa hiyo wameongezeka kutoka wagonjwa 4 hadi wagonjwa 66 ndani ya wiki moja?
Kweli wanasiasa ni waongo!
Una HOFU.Sipanik kwamba corona tatizo ni hizo kauli kinzani za viongozi
Nyinyi ndio wale ambao bwege amewazungumzia" ukiulizwa umekula, ndio" una njaa, ndio"
Kwani wanaoumwa Malaria wapo wangapi, na waliokufa? Tuache Propaganda za kutuogopesha Covid-19 ipo lakini siyo hatari kama tulivyokuwa tunaogopeshwa. Niogonjwa unaondolewa kwa Social distance, kupiga nyungu, kufuata ushauri wa Wataalam wa Afya.Wametokea wapi na tulikuwa nao wanne tu?
So kwangu ina-apply vipi? Hebu justifyNyinyi ndio wale ambao bwege amewazungumzia" ukiulizwa umekula, ndio" una njaa, ndio"
Duniani kote data zinabadilika Kila siku. Mfano China ilikuwa imebaki na wagonjwa 45 lakini Sasa Ina wagonjwa zaidi ya 200!Wametokea wapi na tulikuwa nao wanne tu?
Siyo waongo tu ni wachawi na wanga.Kwa hiyo wameongezeka kutoka wagonjwa 4 hadi wagonjwa 66 ndani ya wiki moja?
Kweli wanasiasa ni waongo!