Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
2hrs ago ila nimejaribu kutupia jicho huko sijaona!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2hrs ago ila nimejaribu kutupia jicho huko sijaona!
Ok maana niliona Kama umepata mfadhaiko pale ulipoandika ' nchi hii...hapana'Sitaki kitu mkuu
Ndio hivyo mdau kiko poa sana kile kitabu yaaniAisee, umenikumbusha mbali. Umekisoma kitabu cha Alice ? Basi mimi nimekisoma nikiwa darasa la nne mwaka 1985, swahili version. Kinavutia balaa.
Sio ya leo. Go search the News on BBC2hrs ago ila nimejaribu kutupia jicho huko sijaona!
Then they misinterpreted him...Hakuna nchi ni corona free kwa sasa!Sio ya leo. Go search the News on BBC
Ushapanik tayari, povu linakutiririka sanaaa,unahamaki hatareee....unakwama wapi????Alice in wonderland .tutaelewa SOMO tu na hizi siasa za bongo. Na si walisema mashine zinadanganya?😥
Na si kuna kiongozi alisema tusali tumeshinda corona Yaani hakuna tena covid?
Na pia ...... Anyway nisije kupanik bure.
Tatizo lako unaandika unavyotaka wewe ueleweke, lakini hakuna mtu amesema kuwa Coronavirus vimeisha Tanzania. Tuliyo yasikia wengi ni kwamba Covid-19 ipo na tuchukue tahadhari ambazo zimetolewa na wizara ya Afya.Alice in wonderland .tutaelewa SOMO tu na hizi siasa za bongo. Na si walisema mashine zinadanganya?[emoji26]
Na si kuna kiongozi alisema tusali tumeshinda corona Yaani hakuna tena covid?
Na pia ...... Anyway nisije kupanik bure.
Sipanik kwamba corona tatizo ni hizo kauli kinzani za viongoziUshapanik tayari, povu linakutiririka sanaaa,unahamaki hatareee....unakwama wapi????
Watakuwa wameletwa na mabeberu wasioitakia mema nchi yetu.Wametokea wapi na tulikuwa nao wanne tu?
Wanatumix Sana aiseeee....WANASIASA SI WA KUWAAMINI,Ni juzi tuu tuliambiwa wako wanne, maea tukaambiwa waziri Ummi ata tangaza kuisha kwa corona Tanzania. Kumbe wapo..