Serikali kwakuwa hamna ajira za kutupatia , basi tunaomba mtuwekee mazingira rahisi ya sisi kwenda nje

Sio sababu maalumu ya kutuwekea ugumu hasa passport n.k

Tuwekeeni urahisi wa sisi kutokana na kwenda kujaribu bahati zetu zetu Nje .
Na ukitoka huko nje utaenda kuajiriwa na serikali yahuko uendako?
 
Sio sababu maalumu ya kutuwekea ugumu hasa passport n.k

Tuwekeeni urahisi wa sisi kutokana na kwenda kujaribu bahati zetu zetu Nje .
Education system yetu imekuanda kupambana na ajira za nje au unafikiri nivyepesi tu
 
Mbona unaanza kumkatisha tamaa mapema? Kazi zipo nyingi sio lazima uwe na education fulani.
 
Kuna ugumu umewekwa kuzungushwa n.k ilimradi utoe hela au hongo
Vijana wa sasa hivi mnabahati.
1.Wazazi wenu wana vyeti vya kuzaliwa na passport
2.Babu zenu wana vyeti vya kuzaliwa na passport
Hizo documents mbili zinarahisisha sana mambo ukiwa nazo. Pia kumbukeni hakuna kitu utakipata kirahisi lazima ujipange.

Enzi zetu labda mama na baba ndio wana cheti cha kuzaliwa au passport. Na hata mama au baba anaweza asiwe navyo na passport tumepata.
 
huko nje ataenda kuzungumza kiswahili?
Mmh nashangaa Elimu yetu ni bogus inatunyima kua na world class confidence hatuwezi kushindana kwa ajira za nje hatuna exposure tupo tupo tu na akili za CCM yetu.
 
Watanzania kwenda nje hawana hio morali, nchi nyingi nilizopita ni Waganda,kenya, Cameroon na Nigeria hukosi kuwakuta.
Ila Waganda na wakenya kuna nchi ili apate ajira lazima awe na PCC,police clearlence certificate
 
Vijana wa sasa hivi mnabahati.
1.Wazazi wenu wana vyeti vya kuzaliwa na passport
2.Babu zenu wana vyeti vya kuzaliwa na passport
Hizo documents mbili zinarahisisha sana mambo ukiwa nazo. Pia kumbukeni hakuna kitu utakipata kirahisi lazima ujipange.

Enzi zetu labda mama na baba ndio wana cheti cha kuzaliwa au passport. Na hata mama au baba anaweza asiwe navyo na passport tumepata.
Mkuu kupata tabu sio mashindano, sasa kama enzi zenu kupata izo documents ulikua mtiti ndio unataka na enzi za sasa iwe hivyo hivyo? Kutangulia maana yake uondoe vikwazo utavyokutana navyo ili visiwakwamishe wanaokufuata. Kama ni lazima wananchi wasote kwenye kila kitu sasa serikali ipo kwa ajiri ya nini.!
 
Kupata passport eti lazima useme unaenda wapi na kufanya nini.
 
Mkuu kupata tabu sio mashindano, sasa kama enzi zenu kupata izo documents ulikua mtiti ndio unataka na enzi za sasa iwe hivyo hivyo? Kutangulia maana yake uondoe vikwazo utavyokutana navyo ili visiwakwamishe wanaokufuata. Kama ni lazima wananchi wasote kwenye kila kitu sasa serikali ipo kwa ajiri ya nini.!
Cha ajabu sisi hatukupata shida ingawa documents muhimu kulikuwa hakuna. Nyinyi wenye documents muhimu sasa hivi mnapataje shida? Ukikamilisha mahitaji yote,yaani documents sahihi hakuna wa kukusumbua. Hakuna. Kama hujaka.ilisha documents lazima wakuendeshe tu. Sijawahi kupata shida kupata passport NI kitambulisho cha kura etc
 
Back
Top Bottom